juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,691
- 5,103
Nahis madueke nae anahitaji mda, ni kama Mudryk tu niwachezaj wanaohitaj muda zaidi na kucheza mara kwa mara.Madueke na Jackson ni wachezaji wa Timu ndogo au mechi ndogo. Uwezo wao ndio umeishia hapo, Nkunku nafasi yake kikosini inamsubiria.
Dogo Palmer anatisha sana, akili kubwa ya mpira, bonge la usajili, umri wake hauendani na mambo makubwa anayofanya uwanjani, anazidi kuwa hatari day after day kadri timu inavyozidi kuimarika.
Mudyk ana kitu mguuni ila kuna rythim flani ya uchezaji anaikosa, hope atazidi kuimarika huko mbeleni.
Sterling amekuwa mdudu washa washa ameongeza kitu katika utulivu na maamuzi yake uwanjani.
Changamoto kubwa ya the blues bado ni kule mbele uwezo mdogo wa kuweka magoli wavuni, lazima dirisha la usajili January tuendelee kuliboresha.
Eneo la katikati na nyuma linaendelea kuimarika sana. Ila kwa kipa Sanchez hapana aisee either tumrudishe keppa au tufanye usajili wa kipa mwingine wa caliber ya the blues.
Hongera sana kwa Poch anaendelea kuimarisha timu kimbinu na kiuchezaji.
Madueke msimu uliopita wakat league inaelekea ukingoni alikuwa vizuri sema msimu huu Poch ni kama bado hajamwamini