Hongereni naona mmejikusanyia points nyingine tatu, Chelsea 2 NC 0, 4 minutes to go.
 
_57104261_luiz.jpg


'
_57104383_lampard.jpg



_57104914_drogba.jpg


 
So far ni HT,

New Castle 0 - 1 Chelsea

Goli la Chelsea limefungwa na Drogba, dakika ya 36.

Penalti ya Chelsea iliyopigwa na Lampard imepanguliwa na kipa wa New Castle
Kumbe wewe ni mnazi wa Chelsea? Hongeren kwa ushindi wa leo. Naona mnaanza kurudi
 
Mkuu BAK,

Nashukuru, naona mechi yetu watu waliipotezea tu, lakini leo ndo tunacheza na timu ya JK hahahaha

Vipi mkuu! Meerkat atakuwepo end of season? Je, Drog the Bar? Nasikia Anelka na Alex vile vile, ku nani?

Good to have you back, how many did you leave in the ICU? ... ..... ofcourse do not count
Mungiki Brother anatia geresha yu hapa kahamia Mancs! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
962B74117B2E468642168085A6DFE.jpg


Maombi rasmi yameanza kwenye cow shed yakiongozwa na Rev. bandia Masanilo akisaidiwa na Rev. Kishoka. Mungiki brother ameonekana akinyatia altare huku Invisible pamoja na Peas of ant wakichungulia bila kutoa mchango wowote
meerkat ameamua kutokumuweka yule mwuza unga mashuhuri (Lamps) ambaye huwapa unga wa kubwia kabla ya mechi .... .... .... ... ...
khe khe khe khe keh khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wenyewe mpo jamani ???????

THE TEAMS ARE

Chelsea: Cech, Ivanovic, Cole, Luiz, Terry, Romeu, Ramires, Meireles, Mata, Drogba, Sturridge. Subs: Turnbull, Ferreira, Lampard, Mikel, Malouda, Torres, Kalou. /

Valencia: Alves, Rami, Barragan, Alba, Ruiz, Mathieu, Albelda, Feghouli, Costa, Jonas, Soldado. Subs: Guaita, Dealbert, Topal, Hernández, Parejo, Aduriz, Piatti.

Vipi leo mtatoka wakuu ? Good luck mechii hi ndo inavutia leo
 
Mshikaji wangu Piss-Ant!!! Mungu awajaalie!! I guess REV atakua keshafanya mambo ya Sala!!!
 
Back
Top Bottom