Atleast leo 2nd half tumecheza vizuri

Uzito wa kufanya sub, tangu first half mudryk hayupo mchezoni ila unamuacha unakuja mtoa dakika 88 kama sijakosea
Stupid

Good game kwa Caicedo
 
Mudryk chini ya Arteta mngeimba poo,

Ila kwakuwa yuko chini ya kocha wa hovyo ni kumpotezea tu kipaji chake.
 

Attachments

  • IMG_2687.jpeg
    IMG_2687.jpeg
    139 KB · Views: 3
Leo tunacheza dhid ya Spurs ni mech muhim kama tunania yoyote ya kushiriki Europa msim ujao

Alama 3 za leo ni za muhim sana
 
Mnapitia wakati mgumu sana. Leo 5 zinawahusu tena. Nawaombea mema sana leo ila naona kama ni ngumu sana kwa Chelkenge hawa kuwafunga spuds, hata kama mko nyumbani.
 
Tangu game ya Aston Villa 2nd half na leo mpaka mda huu tunapokuwa tunampira Cucurella anacheza kama Kiungo na hii inatupa advantage
 
Back
Top Bottom