Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,735
- 2,265
Kati ya mambo ambayo CCM Mbeya itajilaumu pamoja na serikali yake, ni figisu figisu zilizoondoa umoja mkoani Mbeya.
No wonder sasa hivi hakuna kiongozi wa ngazi za juu kutembelea mkoa.
Na CCM imekaa kimya.
Wapinzani wamenufaika vyema na mtifuano huo uliokuwepo ndani ya chama. Na vijana wa sasa wamekua kwa kutoijua au kufaidika na misimamo ya CCM kimkoa, maana hawaoni jinsi wanavyofaidika nayo.
Lakini mbaya zaidi ni kudharauliwa na viongozi wengine kitaifa, kwa kukosa umoja.
Inabidi tujiulize tulikosea wapi.