Tafakari_nami
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 783
- 1,547
Wana jamvi,habari ya muda huu, jamani nina shida na nina mtafuta mwana jamvi mwenzetu anaitwa Castle, picha yake hiyo hapo juu.
Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka kwako.
Kwa anaye jua aliko naomba amfikishie ujumbe wangu.
Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka kwako.
Kwa anaye jua aliko naomba amfikishie ujumbe wangu.