Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
400
1,004
Wakuu,

Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye, dunia haijawahi kuona kama huyu!

Hivi hamuoni aibu? Hamsikii haya kwa huu ujinga mnaofanya? Yaani bunge limekuwa kama takataka sasa hivi kuangalia sifa zenyu za kipuuzi. Si wanaume wala wanawake wote mnatia kinyaa!

Inabidi tuwakumbushe nini kimewapeleka hapo? Maana inaonekana hamuelewi kabisa kilichowapeleka hapo. Wananchi wenu wana matatizo kibao lakini mmekalia mama anafanya hivi, mama anafanya vile, bure kabisa.

Na sisi wapiga kura embu tuwe serious basi, unaona mbunge wako mweupe na mjinga kama hivi piga chini. Mwisho wa siku wewe ndio unaathirika wao wakigeuka chawa, koi zetu zinaishia mifukoni mwao, huduma zinazidi kuwa mbovu huku wewe unazidi kuwa masiki.

Amka, hakuna chama chochote kimezaliwa na wewe, PIGA CHINI!

Nini sasa hiki?

Kingwangalla ni ujinga gani huu unaongea? Comfortable kabisa kwamba umeenda kuwawakilisha wananchi? Shame on you.
Pia soma:
Bunge la 12: Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024

Kigwangala, kumsifia Rais sio uzalendo wa kwanza, nchi yetu ni Jamuhuri sio Ufalme
 
Wakuu,

Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye, dunia haijawahi kuona kama huyu!

Hivi hamuoni aibu? Hamsikii haya kwa huu ujinga mnaofanya? Yaani bunge limekuwa kama takataka sasa hivi kuangalia sifa zenyu za kipuuzi. Si wanaume wala wanawake wote mnatia kinyaa!

Inabidi tuwakumbushe nini kimewapeleka hapo? Maana inaonekana hamuelewi kabisa kilichowapeleka hapo. Wananchi wenu wana matatizo kibao lakini mmekalia mama anafanya hivi, mama anafanya vile, bure kabisa.

Na sisi wapiga kura embu tuwe serious basi, unaona mbunge wako mweupe na mjinga kama hivi piga chini. Mwisho wa siku wewe ndio unaathirika wao wakigeuka chawa, koi zetu zinaishia mifukoni mwao, huduma zinazidi kuwa mbovu huku wewe unazidi kuwa masiki.

Amka, hakuna chama chochote kimezaliwa na wewe, PIGA CHINI!

View attachment 2967161
Nini sasa hiki?

View attachment 2967168
Kingwangalla ni ujinga gani huu unaongea? Comfortable kabisa kwamba umeenda kuwawakilisha wananchi? Shame on you.
Sijui mfano haw jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda, etc wanatuonaje? Aibu!
 
Kinachoendela ni vikao vya CCM kujificha kwenye kichaka cha bunge ..
 
Wakuu,

Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye, dunia haijawahi kuona kama huyu!

Hivi hamuoni aibu? Hamsikii haya kwa huu ujinga mnaofanya? Yaani bunge limekuwa kama takataka sasa hivi kuangalia sifa zenyu za kipuuzi. Si wanaume wala wanawake wote mnatia kinyaa!

Inabidi tuwakumbushe nini kimewapeleka hapo? Maana inaonekana hamuelewi kabisa kilichowapeleka hapo. Wananchi wenu wana matatizo kibao lakini mmekalia mama anafanya hivi, mama anafanya vile, bure kabisa.

Na sisi wapiga kura embu tuwe serious basi, unaona mbunge wako mweupe na mjinga kama hivi piga chini. Mwisho wa siku wewe ndio unaathirika wao wakigeuka chawa, koi zetu zinaishia mifukoni mwao, huduma zinazidi kuwa mbovu huku wewe unazidi kuwa masiki.

Amka, hakuna chama chochote kimezaliwa na wewe, PIGA CHINI!

View attachment 2967161
Nini sasa hiki?

View attachment 2967168
Kingwangalla ni ujinga gani huu unaongea? Comfortable kabisa kwamba umeenda kuwawakilisha wananchi? Shame on you.
Wanamsifia bungeni wanamtukana mitandaoni waungwana na Mungu wahuni na shetani (ccm)
 
Binafsi tangu mwaka 2015 mpaka leo sijawahi kuwa na interest ya kusikiliza au kuangalia bunge letu live.
Sioni kipya hapo!
 
Ni bunge la upande mmoja kwahiyo hayo yategemee.
Yes /No mkuu,Bunge la chama kimoja lilikua mwiba kwa serikali ya ccm,kumbuka scandals za Chavda,Ladwas,Tanganyika etc etc,wabunge wale walikua wanatetea wapiga kura wao sio wa sasa waliojaa upumbavu,kipindi kile mbunge kama Tuntemeke sanga (MHSRIP)akisimama kuongea hakuna hata mbunge mmoja atakua anasinzia,Bunge la sasa limejaa wapumbavu wengi wenye degrees fake na hata kujenga hoja za maana ni zero
 
Back
Top Bottom