Bila Muhammad Musa Alkhawarizim (Algorthim),huyu ndio baba wa Mathematics na Computer science.

physician2023

JF-Expert Member
Dec 15, 2023
389
527
Kila unachokiona duniani bila ya Muhammad Musa Alkhawarizim(algorithim),Computer science yote inategemea algorithm.Bado hatujamgosa Algebra na Avecina.Kila unachokiona duniani kilichotengenezwa na binadamu,kinatokana na mahesabu ya Algorithm.
View attachment 2859855
 
Mkuu algebra ndio kiboko. Hakunaa mada ya hesabu haina algebra, hakuna Fizikia, kemia bila algebra.
Algebra is the foundition of human civilization.
Zaiifi ya hapo ni namba 0-9. Aka ARABIC numbers. Hizo ndio mIsha kamili.
 
Back
Top Bottom