Bidhaa 9 zinazoongoza kununuliwa zaidi mitandaoni/online. Fanya uchaguzi sahihi

Aug 24, 2021
27
16
Kitendo cha mtu kuanza kuagiza bidhaa. Kwa kupitia tovuti mbali mbali zinazofanya biashara online. Ni kitendo ambacho kinatakiwa kiwe cha urahisi na uhakika. Bidhaa zinazouzwa kwa kupitia mitandao kama. Mitandao ya kijamii, Application za simu, na tovuti. Huwa zina pendwa Zaidi kutokana na kuwa unapata maelezo yote. Ya bidhaa kabla haujanunua. Kama tukiangalia bidhaa ambazo unaenda kununua dukani huwa zinakuwa na maelezo ya kina. Maelezo haya lazima yaangalie utofauti. Wa bidhaa unayouza na zingine. Ikiwemo utofauti uliopo katika bei, Ufanisi, Ubora, punguzo. Na gharama za usafirishaji. Lakini taarifa zote hizi huwezi kuzipata ukienda kununua bidhaa moja kwa moja dukani.

Ndio maana watu wengi saivi huamia online. Kuanza kununua vitu, kwa sababu ya urahisi wa taarifa na sababu zingine ambazo ni za muhimu. Na nitaziweka wazi kwenye post inayofata.

Hapa tutaenda kuangalia vitu vinavopendwa kununuliwa zaidi mtandaoni. Tukianza kwanzia cha kwanza hadi cha mwisho. Pia nitazingatia kuweka na sababu ambazo zinafanya vitu hivo kununuliwa sana online.

Vifaa vya ki-Electroniki (Consumer Electronics).​

  • Vifaa hivi ni vifaa kama simu, Kompuyta(Computers).Na vifaa vyote vinavotumia umeme. Ndio vya kwanza kununuliwa Zaidi online/mitandaoni. Inasemekana kutokana na mabidiliko ya technologia. Watu hupata taarifa za vitu kama toleo jipya la simu kwa kupitia mitandao. Na baada ya watu kupata taarifa izo.Watu huwa wanafanya maamuzi ya kuanza kutafuta bidhaa.
  • Pia katika harakati yakutafuta toleo jipya la bidhaa io, wanayoihitaji sana. Hupelekea wafanye maamuzi ya kuzinunua mitandaoni. Ndio maana tunaona kuwa wengi wetu huona kama.Mfano kutafuta simu ya aina flani au Computer ya aina flani madukani. Ni kama kutafuta bidhaa io ukiwa hauna taarifa za kutosha kuhusiana nayo.
  • Na katika majibu ya utafiti uliofanywa. Inaonesha kuwa manunuzi ya vifaa vya ki-Electroniki ni ya kwanza. Na manunuzi hayo ni kwa Asilimia 69 ukilinganisha na bidhaa zingine zote.

Vitabu(Books).​

  • Dunia tuliopo sasahivi. Ni dunia inayopenda sana taarifa kuliko kitu kingine chochote. Hii hupelekea watu kutengeneza vitabu kilasiku. Kuhusuana na matatizo mbalimbali yaliyopo katika jamii zetu. Pia vitabu huwa katika mifumo kama mfumo wa ki-Electroniki(SoftCopy). Mfano ni kama hapa unaposoma ni softcopy. Na mfumo mwingine ni wa hardcopy (karatasi zinazoshikika).
  • Lakini mara nyingi watu hupendelea softcopy. Kwa sababu ina urahisi katika kusafirisha na kuisoma kwa njia mbali mbali. Kama kwa njia ya sauti na kwa njia ya kuangalia. Vitabu huwa na mvuto mkubwa pia kwa sababu navyo vinakuwa na matoleo mengi. Kitendo ambacho husababisha wasomaji kutaka kupata toleo jipya mapema. Ndio maana wanawahi kunua kwa kupitia mitandao.
  • Na utafiti unaonesha kuwa vitabu vinashika namba mbili. Kununuliwa kwa kupitia mitandao. Vikiwa na asilimia 67 ya manunuzi.

Nguo na Mavazi(Clothing and apparel).​

  • Hivi ni Vitu kama nguo na mavazi ya aina zote tukienda hadi kwenye viatu. Ili ni soko kubwa sana mtandaoni. Kwa maana watu hupenda kupendeza. Na ni kutokana na walivoona mtu flani kavaa mtandaoni.
  • Na maamuzi ya kuchagua nguo ya aina flani. Huwa ni magumu, kwaio watu hununua mavazi kwa kuangalia mtu flani alivopendeza. Kwa namna hii soko hili linakuwa kilasiku mtandaoni. Na kwa wale wenye maduka ya nguo. Mna nafasi kubwa sana ya kufanyabiashara hii ya nguo kwa kupitia mitandao.
  • Kwa sasa mtandao unaokuja kwa kasi sana, ni Sokokuuonline ambao utaweza. Kuweka picha za nguo zako wewe kama muuzaji na kuanza kupata wateja mbalimbali.
  • Na mwisho kutokana na utafiti, soko la nguo. Ni la tatu kwa kuuza sana mtandaoni. Likichukua asilimia 63 za mauzo.

Vifaa vya nyumbani(Household Goods).​

  • Kama ulikua unasita bado kuanza kutangaza vifaa vya nyumbani vilivyopo dukani.Kwako mtandaoni/online. Jua kuwa ni vya 4 kununuliwa kwa kasi Zaidi mtandaoni kulinganisha. Na vifaa vinginevyo. Na kumbuka kuwa vifaa hivi mfano ni.Meza zenye muonekano tofauti tofauti. Viti, Makabati hadi mpaka kwenye vifaa vya jikoni ,chooni na vya nje ya nyumba. Hivi vyote ni vifaa vinavohitajika kwa kasi sana mtandaoni. Bila kusahau vifaa mbalimbali vya ujenzi.
  • Karibu kwenye tovuti yetu ya sokokuuonline ili uweze kuanza kuuza bidhaa zako za nyumbani mtandaoni. Na uanze kupata wateja wa kutosha, na wa matabaka mbalimbali Zaidi.
  • Ila ni kwa asilimia ngapi basi vifaa hivi vinaonekana kuuzika Zaidi mtandaoni? Utafiti unaonesha ni kwa Zaidi ya asilimia 38 vifaa hivi vinauzika sana mitandaoni.

Vifaa vya ofisini (Office Supplies).​

  • Vifaa vya ofisini vipo vya aina nyingi. Na hapa moja kwa moja tunaongelea viti, meza, taa, makabati.Na vifaa vingine vyote vya maofisini ukiacha vile. Vitakavofanana na ambavyo nimesha vitaja hapo juu. Vifaa hivi vya maofisini vinashika namba 5 katika mauzo mtandaoni. Na kama wale wanaofanya biashara za vitu vya maofisini bado hawajaanza kuweka bidhaa zao mtandaoni. Huu ndio wakati wakuwahi ili kuanza kupata watu wengi. Ikiwemo watu wa makampuni mbalimbali na wenye nyazfa tofauti.
  • Anza na kuweka bidhaa zako sokokuuonline kwa matokeo mazuri na ya haraka. Kwa maelezo kuhusu sokokuuonline.co.tz unaweza ukatupigia. Kwa namba zilizopo kwenye tovuti yetu.
  • Kwa kumalizia kumbuka kuwa. Vifaa vya ofisini vinauza mtandaoni kwa Zaidi ya asilimia 30. Na bado kuna mda wa kuviongeza. Vya kutosha mtandaoni ili mauzo yaongezeke.

Vitu vya kupaki(Consumer Packaged goods).​

  • Vitu vya kupaki vikiwemo kama vile vya super market.Au vitu vyote vya kupaki vinavoweza kusafirishika. Hapa tukizungumzia nafaka. Na vitu vingine vyote vilivopitishwa kiwandani na kupakiwa.
  • Kumbuka kuwa vitu vyote vya kupaki vinashika namba 6 kwenye mauzo ya mtandaoni. Kwaio kama we ni mtengenezaji mzuri wa vitu vya kupaki. Na bado haujaanza kuviweka mtandaoni. Wakati ndio huu kuanza kuweka vitu vyako mtandaoni.
  • Kwa kupitia sokokuuonline utaweza kuanza kuweka picha. Za vitu vyako vya kupaki mtandaoni na kupata wateja wa aina mbalimbali na wanaotoka mikoni.
  • Kumbuka kuwa vitu vya kupaki vina Zaidi ya asilimia 28 ya mauzo mtandaoni. Kwaio bado haujachelewa kuanza kuweka vitu vyako mtandaoni kwa ajili ya mauzo.

Vifaa vya michezo(Sporting goods)​

  • Vifaa vya michezo ni vifaa kama. Jezi za michezo mbalimbali kama mpira wa miguu, mpira wa neti, Netball na michezo migine yote. Kutokana na michezo inayochezwa sana ndani ya nchi uliopo. Kama ni mfanyabiashara wa jezi na vifaa vya michezo. Uwanja wa kuuza vifaa hivyo mtandaoni bado ni mkubwa.
  • Sokokuuonline tunakupa uwanja wa kuuza vitu mtandaoni/online. Ikiwemo vifaa vya michezo ili uanze kupata wateja wengi Zaidi. Na ujipatie faida. Pia kwa wale wanaotaka kununua vitu vipo vya kila aina na ni vya maduka ya watu wa hapa Nchini Tanzania.
  • Vifaa vya michezo(Sporting goods). Vinauza hadi kufikia zaidi ya asilimia 20 ya mauzo mtandaoni.

Vitu vya Wanyama wa kufugwa.(Pet Supplies).​

  • Hapa ndio watu wengi bado wanaogopa kufanya biashara hii mtandaoni. Lakini vifaa vya Wanyama wa kufugwa vinatafutwa sana. Na tukiangalia masoko yetu ya mtandaoni ya vifaa hivi bado hatujaviweka vya kutosha. Labda kwa sababu ya aibu. Lakinini vizuri kutambua kuwa watu wanatafuta sana vifaa mbalimbali kwa ajili ya mifugo yao. Na kuanza kutangaza vifaa hivi kwa mtandaoni itakuangezea haraka kipato.
  • Kwaio usichelewe tutafute sokokuuonline. Kuweka bidhaa zako zianze kuonekana na watu wengi Zaidi mtandaoni.
  • Vifaa vya Wanyama wa kufugwa vinachukua asilimia 20 ya mauzo mtandaoni. Kutokana na tafiti zinavoonesha.

Chakula na mboga(Food and grocery)​

  • Vyakula na mboga mboga vinaweza vikauzwa mtandaoni.Swali ni kwamba vinauzwa kwa njia gani? Kwanza ni kwa njia ya matangazo ya mahali chakula chako kinapopatikana. Pili ni kwa namna ya maelezo kuhusu upikaji wa chakula chako.
  • Kutangaza kuhusu kuuza chakula mtandaoni pia, bado kidogo watu wanaogopa. Ila hapo ndio mahali pa kupata watu wengi Zaidi.
  • Mauzo ya chakula na mboga mboga mtandaoni yamezidi asilimia 20 ya mauzo. Na pia mauzo hayo bado yanahitaji watu wengi kiuingia na kutangaza biashara zao Zaidi.

MostPurchesedGoodsonline.PNG

MostPurchesedGoodsonline1.PNG
 
Vifaa vya ki-Electroniki (Consumer Electronics)​

  • Vifaa hivi ni vifaa kama simu, Kompuyta(Computers).Na vifaa vyote vinavotumia umeme. Ndio vya kwanza kununuliwa Zaidi online/mitandaoni. Inasemekana kutokana na mabidiliko ya technologia. Watu hupata taarifa za vitu kama toleo jipya la simu kwa kupitia mitandao. Na baada ya watu kupata taarifa izo.Watu huwa wanafanya maamuzi ya kuanza kutafuta bidhaa.
  • Pia katika harakati yakutafuta toleo jipya la bidhaa io, wanayoihitaji sana. Hupelekea wafanye maamuzi ya kuzinunua mitandaoni. Ndio maana tunaona kuwa wengi wetu huona kama.Mfano kutafuta simu ya aina flani au Computer ya aina flani madukani. Ni kama kutafuta bidhaa io ukiwa hauna taarifa za kutosha kuhusiana nayo.
  • Na katika majibu ya utafiti uliofanywa. Inaonesha kuwa manunuzi ya vifaa vya ki-Electroniki ni ya kwanza. Na manunuzi hayo ni kwa Asilimia 69 ukilinganisha na bidhaa zingine zote.

Vitabu(Books)​

  • Dunia tuliopo sasahivi. Ni dunia inayopenda sana taarifa kuliko kitu kingine chochote. Hii hupelekea watu kutengeneza vitabu kilasiku. Kuhusuana na matatizo mbalimbali yaliyopo katika jamii zetu. Pia vitabu huwa katika mifumo kama mfumo wa ki-Electroniki(SoftCopy). Mfano ni kama hapa unaposoma ni softcopy. Na mfumo mwingine ni wa hardcopy (karatasi zinazoshikika).
  • Lakini mara nyingi watu hupendelea softcopy. Kwa sababu ina urahisi katika kusafirisha na kuisoma kwa njia mbali mbali. Kama kwa njia ya sauti na kwa njia ya kuangalia. Vitabu huwa na mvuto mkubwa pia kwa sababu navyo vinakuwa na matoleo mengi. Kitendo ambacho husababisha wasomaji kutaka kupata toleo jipya mapema. Ndio maana wanawahi kunua kwa kupitia mitandao.
  • Na utafiti unaonesha kuwa vitabu vinashika namba mbili. Kununuliwa kwa kupitia mitandao. Vikiwa na asilimia 67 ya manunuzi.

Nguo na Mavazi(Clothing and apparel)​

Vifaa vya ofisini (Office Supplies)​

Vitu vya Wanyama wa kufugwa.(Pet Supplies)​

  • Hapa ndio watu wengi bado wanaogopa kufanya biashara hii mtandaoni. Lakini vifaa vya Wanyama wa kufugwa vinatafutwa sana. Na tukiangalia masoko yetu ya mtandaoni ya vifaa hivi bado hatujaviweka vya kutosha. Labda kwa sababu ya aibu. Lakinini vizuri kutambua kuwa watu wanatafuta sana vifaa mbalimbali kwa ajili ya mifugo yao. Na kuanza kutangaza vifaa hivi kwa mtandaoni itakuangezea haraka kipato.
  • Kwaio usichelewe tutafute sokokuuonline. Kuweka bidhaa zako zianze kuonekana na watu wengi Zaidi mtandaoni.
  • Vifaa vya Wanyama wa kufugwa vinachukua asilimia 20 ya mauzo mtandaoni. Kutokana na tafiti zinavoonesha.

Chakula na mboga(Food and grocery)​

  • Vyakula na mboga mboga vinaweza vikauzwa mtandaoni.Swali ni kwamba vinauzwa kwa njia gani? Kwanza ni kwa njia ya matangazo ya mahali chakula chako kinapopatikana. Pili ni kwa namna ya maelezo kuhusu upikaji wa chakula chako.
  • Kutangaza kuhusu kuuza chakula mtandaoni pia, bado kidogo watu wanaogopa. Ila hapo ndio mahali pa kupata watu wengi Zaidi.
  • Mauzo ya chakula na mboga mboga mtandaoni yamezidi asilimia 20 ya mauzo. Na pia mauzo hayo bado yanahitaji watu wengi kiuingia na kutangaza biashara zao Zaidi.
jiunge na group letu la telegram ili kufaham zaidi kuhusu kampuni ya AA Tanzania China Trading(Telegram Group)
 
View attachment 1922503

View attachment 1922504
 
Hio list umeitoa mtandaoni au wapi? Na wasiwasi km itakuwa inazungumzia soko la tanzania coz bidhaa zinaoongoza kwa mauzo hpa bongo ni bidhaa zinazohusu mambo ya afya. Hizo nyingine zinafuatia
 
Scope based nadhani ni magharibi zaidi, ukisema bidhaa ya kitabu kuwa na mauzo hapa nyumbani, hapana
 
Back
Top Bottom