Biashara ya dhahabu last season will be On June 2024

Siyo kweli mkuu. Kuna namna ulikosea ndiyo maana ilikuchapa adi ukachanganyikiwa. Pengine uliingia kama kwenye kilee kilimo cha Whatsapp. Kila kitu kinahitaji utulivu wa akili na kuendelea kujifunza huku una practice. Ili upate matokeo yenye tija kwenye kila utakachoanza kukifanya kwa mara ya kwanza.... Usikurupuke, anza kidogokidogo huku ukijifunza.
Aya tupe darasa mkuu...
 
Nimezaliwa kwenye dhahabu ,kweli kabisa dhahabu ikikubali ni dakika Tu unakuwa mtu mwingine kweny hii Dunia..na kukufirisi ni dakika Tu...pia ushirikina ni lazima kwenye dhahabu...hakuna Mungu kule...hongera kama zimekukubali..Mimi zilinigomea kbs..mpka sshv nipo mjini Tu nasaka chenji ndogo ndogo tu.
 
mimi natamani niwe broker wa dhahabu ila nataka kwanza niingie kule mgodini ninifunze kwanza
hapa sahizi nina kiasi ya kianzia maisha kama nikifanikiwa kumpata mwenyeji kule machimbo maana sijui a wala b. mkuu kama unahitaj mfanyakazi wa kunitolea naomba unichukue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom