Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Umesema milioni 5 faida.

Halafu bado hujatoa mishahara na gharama za kuendesha ofisi. Inakuaje faida sasa ?????

Wewe ni dunderhead kipeo cha pili, ndo maana biashara unakutia wazimu.
Anatupanga tu kk. Nimemuuliza hizo m300 amezipataje? Ni za urithi, ni mikopo au za wizi? Hajajibu. Ni kiwa na maana kama ni za hustle huwezi anza na laki kadhaa, tukafika m kadhaa then ukashindwa ku manage business ya 300. Coz mpaka unafika huko ushakutana na changamoto km zote na ukavuka na ushakuwa na connection yakutosha na ideas za biashara ndo usiseme so ht ikifell unajua uanzie wapi ku solve Sasa huyu hata hajui kakwama wapi afu anajikuta billionaire duh! Come on Jf.
 
Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Umewah kuweka bond UTT au ulisoma matangazo yao tu mkuu??
 
Kwahio hela kuchoma account forex ni majaliwa hata akifungua position 10 za gold kwa lot size ya 3
Yani kuna watu wana bahati!

Mimi hapa nilipo nipate dola 120k kwenye account yangu ya trading? Kila mwezi naingiza milioni 20 tu inatosha na hiyo ni uhakika.
 
Hiyo return ni ya juu sana sielewi kwa nini unalalamika. Ume invest 300M returns kwa mwaka ni 60M ambayo ni karibia 20%. hamna biashara nyingine yenye such high returns. Hata treasury bills/bonds annual returns ni around 10%.
Mkuu unaijua biashara ya mabeli ya mtumba kweli? Yale ya kuagiza China, Dubai na kuja kuuza bongo?
 
Ningekuwa mimi ningeenda benki kuu ya Tanzania halafu ningenunua treasury bonds za miaka 25.

Kwa hela hiyo hata kama ningenunua za 250m,si hapa ningependa mgao mzuri wa kila nusu mwaka

Kwa 250m,ningepeta gawio zuri la kati ya 25m au 30m kwa mwaka,tena ni tax free,
(kama ntakuwa nimekosea hizo figure nakaribisha masahihisho)

Na baada ya miaka 25,narudishiwa 300m yangu na maisha yanaendelea
Kama maisha yangekuwa rahisi hivyo.
 
Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote ! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu!

Mie nikipata 1B tu ujue im never going broke again! Yote ni BOT na sitaki shida tena na mtu nakula gawio langu tu
Ila we jamaa unaweza kufanya mtu ajione fala sana hapa duniani..
 
Penye miti hakuna wajenzi, hio mitaji ndio ya kuingia nayo forex kutengenez million 5 kwa siku kwa huo mtaji inawezekana kabisa. Ila ukiwa na laki laki hizi lazma unyooshwe. Hio $120,000 unabembea tu na gold ikishuka unashuka nayo ikipanda tu ni bingo
Bhana weee!

Aliesema huu msemo alikuwa na maana kubwa sana.
 
Ikoje hii? Mtaji kiasi gani unaweza kuanza nao?
Hio biashara ukiwa na 60M au zaidi unaanza. Kuna Mlebanon mmoja ana kampuni ya cargo haulage na malori yake ya transit nilikuwa nafanya accounting yard kwake ndio alikuwa anaagiza containers za viatu,nguo na bags zinashukia pale yard.

Wanazi grade upya kuondoa nguo mbovu ama viatu vibovu kisha zinaenda Congo zingine zinabakia bongo. Jamaa ana duka moja mjini ndio zinauzwa huko, wengine wanazifata yard.

Hio hela ni cost na clearance ya container inaingiza container ya bales 700 unakuta ni mixer ya clothes na bags ama clothes na shoes. Ila clothes ndio zinakuwaga nyingi around 700+200 shoes kwenye container.

Hela anayoingiza sio ya kitoto mzee, bales za nguo zinacheza kati ya Tzs 200,000 hadi 300,000 huku viatu ni 150,000 hadi 250,000...Huyu mwamba ni kichefu chefu ana kiburi kibaya sana 😂😂😂 cha hela.

Hela inayoingia inaji double tu. Huo mtaji wa 60M unaweza kuzalisha mauzo ya 140M straight away. Sio story za kusadikika maana mie ndio niliokuwa nafanya accounts.
 
Vipi risk ya kuletewa mzigo mbovu?
 
Wadogo zangu hebu jiongezeni basi. Hizo m300 au B nk unakuwa umezipataje? Za urithi za wizi au mkopo? Kama ume hustle mwenyewe toka inaitwa laki ikiwa million mara zikawa 10 zikawa 100 unakuwa umeshapitia ups an down nyingi ume solve challenge nyingi na unakuwa ushatengeneza connection kubwa na watu tofauti tofauti wenye vipato na fani tofauti tofauti. kiuhalisia hata ukipata hasara unakaa chini na Moja ktk mtandao wako mnayajenga . So jamaa anatupanga tu ila tulopitia situation hizo tunajua
Tembea uone ndugu Acha kukaa chumbani kwako ,

Kuna watu migodini wanaotea milion 500 na WAnataka watoke machimboni Mazima waje mtaani.

Kuna watanzania wameajiriwa nje ya nchi na mikataba imeisha wanarudi na milion 600 kwenye account.

Kuna wabunge wanastaafu Wanapewa kiinua mgongo cha milion 300+ na hawajui wafanye nini

Wewe endelea kuishi Manzese Kwa mfuga mbwa hujui yanayoendelea duniani.
 
Hio biashara ukiwa na 60M au zaidi unaanza. Kuna Mlebanon mmoja ana kampuni ya cargo haulage na malori yake ya transit nilikuwa nafanya accounting yard kwake ndio alikuwa anaagiza containers za viatu,nguo na bags zinashukia pale yard.

Wanazi grade upya kuondoa nguo mbovu ama viatu vibovu kisha zinaenda Congo zingine zinabakia bongo. Jamaa ana duka moja mjini ndio zinauzwa huko, wengine wanazifata yard.

Hio hela ni cost na clearance ya container inaingiza container ya bales 700 unakuta ni mixer ya clothes na bags ama clothes na shoes. Ila clothes ndio zinakuwaga nyingi around 700+200 shoes kwenye container.

Hela anayoingiza sio ya kitoto mzee, bales za nguo zinacheza kati ya Tzs 200,000 hadi 300,000 huku viatu ni 150,000 hadi 250,000...Huyu mwamba ni kichefu chefu ana kiburi kibaya sana 😂😂😂 cha hela.

Hela inayoingia inaji double tu. Huo mtaji wa 60M unaweza kuzalisha mauzo ya 140M straight away. Sio story za kusadikika maana mie ndio niliokuwa nafanya accounts.
Too good to be true but... Sikubishii inawezekana...
 
Back
Top Bottom