KERO Benki ya NBC wajirekebishe, watakuja kuua watu kwa presha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Wanakijiji

New Member
Jun 18, 2023
3
3
Hawa NBC BANK watakuja kuua watu kwa Pressure. Jana nmeenda ATM kutoa pesa natoa pesa haitok kuangalia salio naambiwa nina negative 652,520,7644. Kumbe miitandao imesheki.

Afu eti imagine kwa dunia hii ya sasa hivi NBC wana sim banking ambayo huwez kuhaamisha pesa kwennda bank nyingine.

These People of NBC are headache.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom