Barabara ya maili moja shule kwenda sheli ya zamani( Morogoro road) -KIBAHA

Omuzaile

Member
Jan 23, 2019
34
56
Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM.
Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote kilichofanyika,
Hii barabara inaenda kwenye taasisi za serikali haswa shule, kwenye shule ya secondary Bundikani, shule ya msingi maili moja*, *shule ya msingi maendeleo , shule ya msingi mheza.
Tunaomba MAMLAKA KIBAHA MJI ZIJITOKEZE MAANA TUNATESEKA SANA...

Nimeambatanisha picha ili kuonesha khali ilivyo
Asante.
 
Kibongo bongo hiyo njia sio mbaya kiasi cha serikali kuingilia kati.
Ila endelea kupaza sauti, labda una kismati wakakusikia na kutekeleza.
 
Back
Top Bottom