Baada ya kuthibitishiwa juu ya ukuaji wa kiungo hiki, tusiishie hapo

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Apr 20, 2008
279
551
Wakuu

Sasa ni rasmi uume huacha kukua pale mhusika anapofika miaka 20 unaweza kuingia hapa KWELI - Uume huacha kukua mwanaume anapofikisha umri wa miaka 20 kwa info zaidi.

Napongeza sana jitihada zilizotufikisha hatua hii.

Ila sasa jitihada hizi zisikomee hapo tu.

Wahusika mtusaidie kujua hali ya upande wa pili ikoje yani ukuaji wa kiungo kama hicho kwa wenzetu KE ikoje. Hii itasaidia kuleta majibu sahihi au ya kuaminika zaidi juu ya hoja ya kuwepo na ongezeko la vibamia.
 
Kwa maana nyingine kwa matokeo aya sasa ni fursa kwa dada/shangazi uliyekuwa unamtolea nje kijana wa watu uko kitaa kwa wasiwasi labda "hatakutosha" sasa ni wakati muafaka wa kuipitia upya diary yako uone kama ulisevu namba yake au ndo mtafutane kianalogia.
 
mbona kama harufu ya genta hii
 
Mi napinga hili, the more you practise the more you enlarge it, najiongelea mimi, at 20s sikuaga na pilikapilika na wadada, na ilikua average size, sasa buanaa nilipogota 30s niliitanua sana misuli kupelekea pia kua enlarge,
Rudia tena research work yako. kuna mahala haipo sawa.
 
mkuu hapo wamezungumziwa 'kukua' wew unazungumzia 'kutanuka' nazani ivo ni vitu viwili tofauti
 
Ukuaji wa uke wa mwanamke ni mchakato wa kawaida wa maendeleo wa mwili wa mwanamke. Kawaida, uke hukua na kubadilika kwa mzunguko wa hedhi na pia unaweza kuathiriwa na mabadiliko ya homoni wakati wa ujauzito na baada ya kufika kwenye umri wa kubaleghe.
 
Back
Top Bottom