Baada ya kukamatwa mtoto was El Chapo, Zimepigwa Kinoma Mexico

Mtandao ni mkubwa sana, hiyo ni kujisafisha maana Joe Biden ana ziara Mexico. Toka miezi 6 iliyopita alikuwa anatafutwa inamaana serikali yake walikuwa hawajui alipo?
 
Wauza unga wana nguvu sanaaaa
Jamaa huwa wanahakikisha wanakuwa karibu na jamii ya mji husika kwenye ngome yao yaani huduma zote za msingi kama afya,elimu,maji barabara zinakuwa nzuri na za uhakika kuliko hata zile sehemu zinazosimamiwa na serikali kuu that's why huwa wanapata support kubwa kutoka kwa raia.

Kila raia unayemgusa unakuta anaujua umuhimu wao na kuwa tayari kuwalinda na kwa sababu ni biashara yenye hela nyingi jamaa huweza ku-control hadi maafisa polisi serikali nayo kwa kujua hilo hupeleka askari kutoka majimbo mengine ndo maana hata kupigana kwao huwezi kuwatofautisha kutokana na huwa zinapigwa kijeshi kabisa kutokana na kuwepo askari mamluki wanaosimama against serikali.
 
Wauza unga wana nguvu sanaaaa
Hayo ndio madhara ya ufisadi. Mtu anajijenga, anamiliki jeshi dogo kwa kisingizio cha ulinzi binafsi. Anatumia pesa kupenya mihimili muhimu huku vyombo vya ulinzi vimelala. Anatoa misaada kwa fedha chafu hadi jamii inamuamini.

Sasa unafikia hatua kupambana na mtu kama huyu unatumia jeshi sio Polisi na bado casualties kibao! Ana jeshi dogo lenye mafunzo na silaha kali, wananchi pia wanamuunga mkono sababu ya misaada ya pesa chafu.

Tuombe Mungu tuwe na wazalendo wa kulinda Taifa kwa gharama yoyote.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa huwa wanahakikisha wanakuwa karibu na jamii ya mji husika kwenye ngome yao yaani huduma zote za msingi kama afya,elimu,maji barabara zinakuwa nzuri na za uhakika kuliko hata zile sehemu zinazosimamiwa na serikali kuu that's why huwa wanapata support kubwa kutoka kwa raia.
El Chapo akiwa anahojiwa na muandishi wa habari Sean Penn wa jarida la The rollingstone hivyo vitu aliviongelea.

Nukuu kutoka kwa El Chapo.. “I supply more heroin, methamphetamine, cocaine and marijuana than anybody else in the world. I have a fleet of submarines, airplanes, trucks and boats.”
 
Hayo ndio madhara ya ufisadi. Mtu anajijenga, anamiliki jeshi dogo kwa kisingizio cha ulinzi binafsi. Anatumia pesa kupenya mihimili muhimu huku vyombo vya ulinzi vimelala. Anatoa misaada kwa fedha chafu hadi jamii inamuamini.

Sasa unafikia hatua kupambana na mtu kama huyu unatumia jeshi sio Polisi na bado casualties kibao! Ana jeshi dogo lenye mafunzo na silaha kali, wananchi pia wanamuunga mkono sababu ya misaada ya pesa chafu.

Tuombe Mungu tuwe na wazalendo wa kulinda Taifa kwa gharama yoyote.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Pesa chafu manake nini? Hizo mali/pesa zinazokwapuliwa africa na mabeberu na badae kutuziba midomo kwa misaada kiduchu ni pesa safi?
 
Jamaa huwa wanahakikisha wanakuwa karibu na jamii ya mji husika kwenye ngome yao yaani huduma zote za msingi kama afya,elimu,maji barabara zinakuwa nzuri na za uhakika kuliko hata zile sehemu zinazosimamiwa na serikali kuu that's why huwa wanapata support kubwa kutoka kwa raia.
Safisana kanuni ya uwekezaji ifatwe ,sio mnawekeza jamii haifaidiki
 
Back
Top Bottom