Azam CamCard

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,419
5,562
Wakuu,, Sasa hivi home kwangu natumia Dishi ya Azam inayotumia docoder ya kawaida..
So naweza kupata Cam card pekee ili niweze kuweka kwenye TV yangu bila kutumia decorder.. maana hii CamCard inasaidia kupunguza matumizi ya umeme kupitia decoder ya kawaida
 
TV yako ina sehemu ya ku weka hiyo Cam card?
 
Ukitumia camcard pia zingatia yafuatayo.
1. Tv yako Ina inbuilt decoder
2. Hiyo inbuilt decoder Ina uwezo gani wa kuonyesha ubora wa picha (picture resolution) angalia kama ni dvbs au dvbs2. Kuna nyengine haziwezi kuonyesha HD/UHD channels utakuwa na uwezo wa kuona zote kwa kiwango Cha SD tu.
3.Pima Advantage ya camcard na dikoda
 
Kama tv yako ina port ya kuweka card basi watafute kwenye page yao ya instagram @azampesa / azamtv watajie eneo ulipo then watakupa namba ya simu ya wakala wao aliyekaribu yako.
Au watafute kupitia whatsapp kwa namba 0677 822 222
 
Back
Top Bottom