ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

Ni kosa kubwa sana mwanaume kulala kwenye chumba cha mwanamke mpaka asubuhi tena unalala pu.mbu juu juu kama upo kwenye nyumba ya baba'ako ya urithi...haya ndiyo madhara yake kwa ujumla.
Duh maneno yanachoma haya....
 
Mkuu mnachanganya mambo,hiyo nyumba ni mali ya dada yke mtu kamfumania mkewe na jamaa akamwagwa petrol dirishani na kuwasha moto,ni nyumba inawapangaji
Kwahiyo baada ya kumwaga petroli dirishani ndo likaungua godoro tu na huyo bwana na Bibi.OK.
 
Wapendwa em tusijipe muafaka kwa kudhan hao watu walikuwa na mahusiano..Anaefahamu story kamili anisaidie hapa maana huenda ninayoyafahamu yako kinyume na ambayo wengine wanayafahamu
 
Kuna wanakwaya waliimba 'Toa boriti katika jicho la kwako mwenyewe kisha utoe boriti jichoni kwa mwenzio' .Tumekuwa watu wa kujudge bila kujua ishu nzima ilikiwaje na isitoshe kuna watu wachafu,wazinifu mno huku jf lkn ya kwao hawayaoni wanaona ya wengine..Ni mara ngapi mtu anaandika thread kuhusu mchepuko wake while he/she is married?na watu wanatoa support na kumshangilia sisemi wote ila wengi.Tujiangalie na pia tujifunze kujua nn kilitokea kabla hatujajump kwenye conclussion.

Well ilikuwa hivi:Kupitia watu wa karibu sana na hao waliokutwa na tukio la kuchomwa wanasema,mchana kabla ya tukio Ferouz ambae kakutwa na umauti walikuwa Mitaa ya Triple A wakinywa pamoja na washkaj zake sasa Ferouz akawaambia wenzie kuna demu flan ni best yangu anaishi mitaa hii ila cjawah fika kwake ngoja nimuite tujumuike pamoja halaf nikapafahamu kwake wenzie wakamjibu sawa.Jamaa akampigia bibie cm akaja wakajumuika pamoja.

Jion ilivyofika bibie akataka sweta akamwambia Ferouz twende nikachukue sweta na pia upafahamu ninapoishi,jamaa akaenda akapafahamu fresh2 bibie akachukua sweta pamoja na shuka la kimasai wakarudi.

Inavyosemekana huyo dada alikuwa anamahusiano na mwanajeshi sasa kuna kipindi mjeda akakuta msg kwenye cm ya mwanamke akamuuliza yule dada akamwambia sina mtu mwingine zaidi yako na siku ukinikuta na mtu nifanye unachotaka;mjeda akaweka mashushu wakumfatilia huyo dada sasa Kumbe wakati Ferouz anaingia ndan kwa yule mwanamke alionekana na mmoja wa mashushu wa mjeda na ikumbukwe pia Ferouz ndo kwanza ilikuwa mara ya kwanza kufika kwa huyo dada.Taarifa zikamfikia bwana wa bibie.

Baada ya Ferouz na bibie kurudi Triple A wakaendelea kama kawaida ikafika muda wa kuondoka jamaa akaona ni late akawaambia wenzie wacha nimsindikize then narudi sasa wakiwa njiani Wakakamtwa na hapo ndipo mchezo ukaanza.Walipelekwa mbali kabisa na maeneo yale na waliuawa huko kabla ya kuchomwa.Jamaa ana shimo la risasi shingoni kwake.

Sasa baada ya kuuwa ndo wakaletwa ndan kwa yule dada na kuchomwa ili kuonekana kama walifumaniwa na kuchomwa.Bibie kaacha watoto wawili,Ferouz kaacha mke ni mjamzito.

Sasa nadhan tutapata majibu ya maswali yetu kwamba ilikuwaje wachomwe hata zisisikike kelele,au ile kamba jamaa aliofungwa mbona haikuungua na vipi visiungue vitu vingine zaidi ya wao na godoro N.k.
 
Tatizo wa bongo tunapenda kuunganisha matukio bila hata kutafuta taarifa halisi.
Taarifa za awali zilizopo ni kuwa walio fariki ni mwanaume na mwanamke ambapo walikuwa ni wapangaji katika nyumba ya dada yake na marehem msuya..
Na hiki ndo nilichokua najua mm, ila nika mute kuhs labda sikuelewa, Nilivyoskian km Mwanamke aliingiza mchepuko kweny nyumb aliyopangishiwa na mwanaume mwingne jamaa akapiga moto.
 
Kuna wanakwaya waliimba 'Toa boriti katika jicho la kwako mwenyewe kisha utoe boriti jichoni kwa mwenzio' .Tumekuwa watu wa kujudge bila kujua ishu nzima ilikiwaje na isitoshe kuna watu wachafu,wazinifu mno huku jf lkn ya kwao hawayaoni wanaona ya wengine..Ni mara ngapi mtu anaandika thread kuhusu mchepuko wake while he/she is married?na watu wanatoa support na kumshangilia sisemi wote ila wengi.Tujiangalie na pia tujifunze kujua nn kilitokea kabla hatujajump kwenye conclussion.

Well ilikuwa hivi:Kupitia watu wa karibu sana na hao waliokutwa na tukio la kuchomwa wanasema,mchana kabla ya tukio Ferouz ambae kakutwa na umauti walikuwa Mitaa ya Triple A wakinywa pamoja na washkaj zake sasa Ferouz akawaambia wenzie kuna demu flan ni best yangu anaishi mitaa hii ila cjawah fika kwake ngoja nimuite tujumuike pamoja halaf nikapafahamu kwake wenzie wakamjibu sawa.Jamaa akampigia bibie cm akaja wakajumuika pamoja.

Jion ilivyofika bibie akataka sweta akamwambia Ferouz twende nikachukue sweta na pia upafahamu ninapoishi,jamaa akaenda akapafahamu fresh2 bibie akachukua sweta pamoja na shuka la kimasai wakarudi.

Inavyosemekana huyo dada alikuwa anamahusiano na mwanajeshi sasa kuna kipindi mjeda akakuta msg kwenye cm ya mwanamke akamuuliza yule dada akamwambia sina mtu mwingine zaidi yako na siku ukinikuta na mtu nifanye unachotaka;mjeda akaweka mashushu wakumfatilia huyo dada sasa Kumbe wakati Ferouz anaingia ndan kwa yule mwanamke alionekana na mmoja wa mashushu wa mjeda na ikumbukwe pia Ferouz ndo kwanza ilikuwa mara ya kwanza kufika kwa huyo dada.Taarifa zikamfikia bwana wa bibie.

Baada ya Ferouz na bibie kurudi Triple A wakaendelea kama kawaida ikafika muda wa kuondoka jamaa akaona ni late akawaambia wenzie wacha nimsindikize then narudi sasa wakiwa njiani Wakakamtwa na hapo ndipo mchezo ukaanza.Walipelekwa mbali kabisa na maeneo yale na waliuawa huko kabla ya kuchomwa.Jamaa ana shimo la risasi shingoni kwake.

Sasa baada ya kuuwa ndo wakaletwa ndan kwa yule dada na kuchomwa ili kuonekana kama walifumaniwa na kuchomwa.Bibie kaacha watoto wawili,Ferouz kaacha mke ni mjamzito.

Sasa nadhan tutapata majibu ya maswali yetu kwamba ilikuwaje wachomwe hata zisisikike kelele,au ile kamba jamaa aliofungwa mbona haikuungua na vipi visiungue vitu vingine zaidi ya wao na godoro N.k.

barakaglory inabidi uisaidie polisi. Inaelekea una taarifa muhimu zaidi ya hii
 
Kuna kitu nimekupata hapa ,katika ukurasa fulan katarina aliweka maneno kuwa huyu marehemu wa kike kuna kitu alitaka kumwambia( hapo yawezekana ikawa ni kuhusu meseji zilizokutwa na mjeda) pia kwa kauli za mara ya kwanza za majirahi ni kwamba huyo marehemu wa kiume ni mara ya kwanza kufika hapo( yawezekana walipoenda mara ya kwanza ndiyo alionekana) kama kuna ukweli polisi wana pakuanzia kwanza kwa majirani ili kujua mpenzi wake alikuwa nani.
 
Hicho ndo kikubwa mkuu maana kiukwel sio ubinadamu huo yaan jamaa ndo kafika kwa mwanamke mara ya kwanza na ikawacost maisha mmmh
 
Back
Top Bottom