Achana na ndorobo hao, ebu endelea kupekuwa huko utujuze habari za Pierre-Emerick Aubameyang...Iko wazi wanasubiri Arsenal achezee vichapo waanze kuandika kua Sanchez alikua kila kitu wanatamani sana tupigwe wanaumia kua tumeshinda mechi mbili mfululizo tena style (Palace kala 4) na tumeshinda London Derby.
Zituume kwa sababu gani haswa, ametukuta tunacheza UEFA anaondoka anatuacha EUROPA, alipokuja tulikuwa hatutoki top 4 anatuacha tunang'ang'ana na nafasi ya sita jua letu mvua yetu muache aende mwanakwendammmmh wakati roho zinawauma.
Asante sanahongereni kwa ushindi.
Sawa nasi tumempokea.Zituume kwa sababu gani haswa, ametukuta tunacheza UEFA anaondoka anatuacha EUROPA, alipokuja tulikuwa hatutoki top 4 anatuacha tunang'ang'ana na nafasi ya sita jua letu mvua yetu muache aende mwanakwenda
Matatizo ya kujua soka kwa njia ya kubeti ndio haya
Auba huko mazungumzo yanaendaje tunampata?
Does he really worth 70!!!Ubahili ndio kikwazo ndugu yangu,Arsenal wamegoma kufika 70 ambayo Dortmund wanataitaka tumekomaa na 58 mbaya zaidi Wenger kasema timu iko sawa bila uyo Auba.
Tuombe walegeze mioyo maana Auba amewatibua Dortmund kwa utovu wa nidhamu anaamini tunamsajili tukiendeleza wehu wetu tunaweza kumkosa kibwege tu.
70? Na wenyewe waache wehu yaani toka 60 mpaka 70 angalau kwa 60 tulikuwa tunawasogeleaUbahili ndio kikwazo ndugu yangu,Arsenal wamegoma kufika 70 ambayo Dortmund wanataitaka tumekomaa na 58 mbaya zaidi Wenger kasema timu iko sawa bila uyo Auba.
Tuombe walegeze mioyo maana Auba amewatibua Dortmund kwa utovu wa nidhamu anaamini tunamsajili tukiendeleza wehu wetu tunaweza kumkosa kibwege tu.
Vigeugeu wale yaani tukipanda na wao wanapanda,alafu bado wanamtaka na OG katika hilo dili aende kwao kwa mkopo mpaka mwishoni wa msimu pumbavu sana hao jamaa70? Na wenyewe waache wehu yaani toka 60 mpaka 70 angalau kwa 60 tulikuwa tunawasogelea