Anguko la Yanga

Nikiona mtu anatoa povu kisa boli huwa naona kama sjui n mtu gan ....
Whatever the performance the guys wl be paid ..but wat about your family??
Nini kimekuleta humu mpumbavu kabisa wewe.

Wewe familia yako imefaidiaka nn wewe kukomenti humu.

Familia yako inafaidika nn wewe kuwa humu jukwaani jamii forum

Ni mangapi unayofanya ambayo family yako unafaidika.

Hiyo hela yabando kwanini Basi hukununua hata mkate ukapelekea wanao.

Mpira ni burudani km ambavyo ww umalaya ulivyo burudani kwako.

Acha kupangia watu maisha.

Wewe maisha ulisomea chuo gani? Hadi ukayapatia!
 
Ukiachana na utumbo wa mleta mada. Hii comment yako ni utumbo namba mbili. Hata kama sifaidiki kifedha sisi ndio burudani yetu, tunapopata muda wa kupumzika hatutaki kuongelea upuuzi wa siasa tunakuja kwenye michezo kupata birudani na kupooza mioyo baada ya mihangaiko.
Muulize Huyo kichwa boga humu kwanza kafuata Nini.
 
Weka takwimu basi, timu haina foward wala kiungo mtengenezaji magoli.
1) mechi ya Yanga vs Simba, timu ya Yanga ndio timu iliyotengeneza nafasi nyingi za magoli kuliko Simba, je hao viungo waliazimwa kutoka timu nyingine?
2) unasema kuwa Yanga haina viungo watengenezaji, lakini mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne, ikiwa imefunga magoli matano huku ikitengeneza nafasi zaidi ya 15 za magoli
3) Yanga magoli matano wameyapataje kama hakuna wafungaji

Yanga amecheza mechi mbili tu za ushindani na amefunga goli mbili tu,Simba na ASAs,hizo goli tano za wapi
 
Unadhani wana akili hao?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yanga amecheza mechi mbili tu za ushindani na amefunga goli mbili tu,Simba na ASAs,hizo goli tano za wapi
Nilijua mleta uzi una akili timamu kumbe una mapungufu ya utimamu wa akili au pengine usimba wako unakufanya ukose akili. Yanga kamfunga Azam goli mbili, kamfunga Asas goli mbili na pia kamfunga Kaizer chief goli moja. Katika mechi alizocheza ni mechi moja pekee hakuweza kupata goli
 
Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.

Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.

1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.

2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.

Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua

Mlimda mlango

Beki wa Kati mbadala wa Inonga

Kiungo mkabaji

Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Mada inahusu anguko la Yanga, ila ukiingia ndani unakutana na bla bla nyingine za simba!!
 
Tatizo tulilonalo kama taifa ni uhuru wa kujieleza umezidi sana!!
 
IMG-20230823-WA0044.jpg
 
Mkuu njoo huku
 
Back
Top Bottom