Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,769
- 21,674
Sina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama.
Kama wewe muislamu umefunga siku 30 na ukaweka nadhiri kufanya mambo yasiyo mpendeza Mungu siku ya leo mfano kuzini, kunywa pombe, kudhulumu nk elewa ni sawa na umemuasi Mungu siku ya Qiyama.
Hivyo ili kuzilinda funga zenu hakikisheni hamfanyi mambo machafu msije funga zenu zikawa sawa na bure.