Anayehitaji dereva

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
826
1,017
Habari wakuu,mimi ni fundi mwanafunzi japo ndo najiifunza umeme wa magari bado nipo garage , Pia ni dereva mzuri na leseni ninayo class ABD
kwahiyo kwa wakazi wa Dodoma anaye hitaji dereva wa kumtuma sehemu au kupeleka watoto shule na kuwarudisha nyumbani nipo hapa .karibuni
 
Back
Top Bottom