lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
Mkuu JF ni tofauti na hizo tradional media zetu. JF ni users generated content. Tatizo sio kuwa serikali kuwafungia. Hii open letter imekaa hapa tokea wiki iliyopita lakini umeshaiona hata kwenye chombo kimoja cha habari cha Tanzania. Unafikiri hajui kama kuna kitu kama hiki kinaendelea hapa? Waandishi kibao wa vyombo vyetu vya habari huwa wanapitia hapa. Wengine ni JF members. Lakini so far they have not done anything.
Tofautisha na vyombo vya habari vya nchi nyingine ambavyo siku hizi vina relay kwenye social media kupata habari. I am sure kama hii issue ingekuwa Kenya traditional media wangekuwa tayari wamesha pick up hii habari.
kuhusu wahandishi wetu kutetea unga au magatezi kupotezea habari za muhimu hapa bongo ni mchezo wa kawaida,
mimi huwa nasema yawezekana ni kutoka na connection zao na watawala sasa au siku za nyuma hivyo wanashindwa kujikwamua.
kwa mfano mpaka sasa hakuna media COVERAGE ya kutosha kuhusu hoja ya BAE zidi ya serikali yaani hiyo pesa kwenda kwenye NGO's
hii kitu ilitakiwa ifanyiwe uchambuzi yakinifu na BAE wangeulizwa ni NGO'S gani wanazungumzia na ni mambo yepi yanapewa vipaumbele ili watu wapate ufahamu zaidi.
mimi napinda serikali kupe hii pesa kwa misingi mikuu ufuatayo
- ghalama au bei za miradi ya serikali hiko juu sana kwenye upande wa utawala au uendeshaji mfano nyumba mkandalasi atalipwa pesa ya kufaa mtu kwa ajiri ya huduma yake na mali ghafi kama mabati na mengineyo hisitoshe kuna tenda board hapo watakula posho ndefu
- husimamizi wa hicho wanachotaka kufanya ni sawa na hakuna mfano UDOM sasa hivi kuta zinamomonyoka kama imejengwa kwa udongo
- rushwa na kutoaminika kwa serikali yetu , hata wakija kushitukiwa wamekula mara nyingi majibu yao ni sijui au tutafuatilia ndio imetoka hiyo
- mfatiliaji wa hizo pesa NDUGAI kusema uongo eti wajui wahusika wa ili sakata la rada na wala hajui nani aliojiwa na SFO hali nchi nzima ilijua ni CHENGE na takuruku iliwahi kuwa safisha huu ni USALITI wa hawali kabisa, na kama **** mbunge humu tungeomba aombe maelezo hapo bungeni maana pale alikuwa anongea kama naibu spika na alikuwa kwenye shunguli tulizo mtuma kusema uongo wa wazi vile ni kulidhalilisha zaidi taifa
- kwa nini serikali hata kama itadhalaulika kama wanavyofikilia lakini watanzania wakapa neema ya hiyo pesa kutipia NGOs yenyewe haitakia na inasema itazifunga hizo NGO ina maana haina huruma na wananchi wakawaida wanaopa huduma na misaada kila siku kutoka katika hayo mashirika kisa wamepea pesa ambayo wao wanataka kuitafuta.