Subiri nitafute email ya mama Claire Short, nimtumie pia... walau ajue yanayoendelea!!!
kwa kutumia contact website hii Email Clare | Clare Short's Website
nimefaniiwa kumpata huyu mama Clare Short.....now we can chat via skype..
mkuu mwambie tunaomba atupe msimamo wake kuhusu hii sakata na ikiwezekana atuwekee hewani statement ya kuwa ana support au condemn
Waziri Linda Chalker wa Uingereza alijiuzuru kupinga kampuni ya BAE kuiuzia TZ rada kwa bei ya kuruka. Alituonea uchungu sana kwa kitendo hicho. Je hapa TZ ni nani mwenye uchungu ameiga mfano huo kwa kuwajibika? Kama hakuna, BAE asilaumiwe!
hii amenitumia mama clare short alipokuwa anaonge bungeni juu ya rada
.
Yaleyale ya kuuza ng'ombe ili ushinde kesi ya kuku!Hata mimi najiuliza hizi gharama zote hadi kupeleka ujumbe wa wabunge uingereza na kuwahudumia kwa zaidi ya wiki nzima majamaa yakigeza nia ya kulipa hatuoni tutakuwa tunaongeza hasara zaidi.
Mwanakijiji,Kule Uingereza ameshitakiwa nani?Jamani wahusika wote wa radda upande wa TAnzania hakuna hata mmoja aliyeshtakiwa kwa serious crimes; kama kweli serikali inaaamini iliingizwa mjini wameshindwa nini kumsaka kwa udi na uvumba Vithlani? Hivi kweli wanataka tuamini hawajui alipo?
Maulaga,Timu ya Wabunge hata iweje haiwezi kutumia hata asilimia moja ya. Thamani ya fedha zinazodaiwa. Wanashinikiza nchi ilipwe Pauni 29.5 milioni, unataka kuniambia kuwa gharama za Timu hiyo ni zaidi ya Pauni 29.5?Yaleyale ya kuuza ng'ombe ili ushinde kesi ya kuku!
June 24th, 2011To Whom It May ConcernEND For those who want to support this stance:
R]Hiki bila shaka ni kizazi kama kile cha Benghazi. Watoto wa watumwa ni watumwa. Tulikuwa na kizazi kama hiki kilikuwa kwenye Baraza la Kutunga Sheria la Tanganyika likipinga kupitishwa kwa kiswahili kuwa lugha ya taifa. Kizazi kama hiki cha Benghazi kilikuwako wakati wa vita vya kagera na vilikimbia kujificha na kukwepa kwenda vitani, kizazi kama hiki kilijuwa kikiishi ughaibuni kikilalama kuwa Nyerere ni dikteta anakandamiza watazania n.k.Historia imetufunza kuwa kizazo hiki huwa hakifanikiwi. Kilikuwapo na kitakuwapo. Hakitashinda sauti ya walio wengi. Mtoto wa mtumwa ni mtumwa!