Aliyeng’atwa ulimi kushtakiwa

Alikuwa analazimisha kubaka na alikuwa analazimisha denda pia.
Alikuwa anambakia wapi?
 
Mi tangu mwanzoni nilihisi kuwa huyu nyumbu ni mbakaji tu.
Ndo mlivyo ccm, Siku zote mpo zero brain.
Mbakaji hawezi kung'atwa ulimi labda ingekuwa sehemu nyingine za na siyo ulimi, police wanashindwa kweli kutumia intelligence ktk hili jambo Dogo?
The concept is simple, the two were exchanging deep kisses, and it seems the woman was either possessed by demons and that's why she gnawed his tongue or she compelled him to make love when he refused, she became angry and made an attack.
huwezi kuwa ktk purukushani ya kubaka halafu mbakwaji akapata nafasi ya kuuma ulimi wa mhalifu kiasi hicho, police tumieni intelligence Kama mnavyotumia ktk mambo mengine
 
We fala unaona watu wote CCM au CHADEMA humu? By the way wewe unaongea conspiracy wakati polisi wamewafanyia uchunguzi wote wawili. Kama unauhakika na unachoongea katoe ushahidi basi.
 
Hata kama walielewana lakini mambo yameshaharibika na huyo ni mke wa mtu, unafikiri atasemaje?
mke wamtu ndio ashtakiwe itakuwaje huyu kijana ndio ashtakiwe huo niuonevu. mawakaili wamtete huyo kijana huyomama wala haoni aibu.yaani wewe ndio umemng'ataulimi kwamaaana hiyo yeye si ndio alilekuwa ananyinya hapana kama polisi wanapotea muda kwa kitu obvious kama hiki kwa kwelinikupotea resoureces a serekali. kijana kapata kilema hata hajui kama atapona na itakuwaje.huenda ndio mwisho wakuongea sasa anataka afungwe maisha/ hapana haki inabidi itendeke1
 
Back
Top Bottom