Ali Kamwe: Tunaomba uongozi wa Simba umsajili kocha wa mamelodi

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,977
24,599
"Nichukue fursa hii kuwapongeza sana viongozi wa Simba, wako very very smart, wanaakili wana brain nzuri ya kujua mpira, yule kocha (Benchikha) alishafika mwisho lakini sisi kama Yanga tulifurahishwa na maamuzi ya yule kocha kuletwa kwa sababu tulikuwa na kisasi naye, kwahiyo hawa mabwana kwasababu wako very smart wakatuletea mtu wetu karibu tukamnyoosha vizuri ameondoka hatudaiani naye. Niwaombe viongozi wa Simba watuletee yule kocha wa Mamelodi (Mokwena) na yeye tumalizane naye, wakituletea yule mitano tena wakae madarakani," Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.
1714306220955.jpg
 
"Nichukue fursa hii kuwapongeza sana viongozi wa Simba, wako very very smart, wanaakili wana brain nzuri ya kujua mpira, yule kocha (Benchikha) alishafika mwisho lakini sisi kama Yanga tulifurahishwa na maamuzi ya yule kocha kuletwa kwa sababu tulikuwa na kisasi naye, kwahiyo hawa mabwana kwasababu wako very smart wakatuletea mtu wetu karibu tukamnyoosha vizuri ameondoka hatudaiani naye. Niwaombe viongozi wa Simba watuletee yule kocha wa Mamelodi (Mokwena) na yeye tumalizane naye, wakituletea yule mitano tena wakae madarakani," Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.View attachment 2978213
 
Umaskini unakusumbua!
Tunajua huyo ni chakula ya tajir kwaio hatuoni shida kusikia hii mipasho. Na wewe kama mwenzie unamfurahia.
 
"Nichukue fursa hii kuwapongeza sana viongozi wa Simba, wako very very smart, wanaakili wana brain nzuri ya kujua mpira, yule kocha (Benchikha) alishafika mwisho lakini sisi kama Yanga tulifurahishwa na maamuzi ya yule kocha kuletwa kwa sababu tulikuwa na kisasi naye, kwahiyo hawa mabwana kwasababu wako very smart wakatuletea mtu wetu karibu tukamnyoosha vizuri ameondoka hatudaiani naye. Niwaombe viongozi wa Simba watuletee yule kocha wa Mamelodi (Mokwena) na yeye tumalizane naye, wakituletea yule mitano tena wakae madarakani," Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.View attachment 2978213
Umebaki kusifiasifia tu umekua chawa,
 
Yaani huyo komwe kama tlutopolo hsichezi hanaga content kabisa isipokuwa kuusemea Simba. Nafikiri deep down anatamani kazi ya Ahmed Ali
 
"Nichukue fursa hii kuwapongeza sana viongozi wa Simba, wako very very smart, wanaakili wana brain nzuri ya kujua mpira, yule kocha (Benchikha) alishafika mwisho lakini sisi kama Yanga tulifurahishwa na maamuzi ya yule kocha kuletwa kwa sababu tulikuwa na kisasi naye, kwahiyo hawa mabwana kwasababu wako very smart wakatuletea mtu wetu karibu tukamnyoosha vizuri ameondoka hatudaiani naye. Niwaombe viongozi wa Simba watuletee yule kocha wa Mamelodi (Mokwena) na yeye tumalizane naye, wakituletea yule mitano tena wakae madarakani," Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.View attachment 2978213
Huyo fala kutwa kichwa kuiwaza Simba tu, ufungwe na mamelod kisasi ulipe Simba hizi akili za wapi?
 
Back
Top Bottom