Aibu kwa kampuni ya Cocacola, fanta ndani ina kisoda kilichokunjwa

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,344
1,790
Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
 
Attachments

  • PXL_20240506_141721403.jpg
    PXL_20240506_141721403.jpg
    2.3 MB · Views: 2
  • PXL_20240506_141738472.jpg
    PXL_20240506_141738472.jpg
    2.2 MB · Views: 2
Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Coca cola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa....Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
TUTAJUAJE UMEWEKA WEWE ACHEN KUCHAFUANA AWAWEZI KUWA MAZOMBI KUNA WACHAGA WENYE AKILIZO KULEE
 
Watu wanapenda sana kuchafulia wenzao biashara ndiyo maana hatuendelei. Kila siku utasikia coca cola sijui haifai kwa matumizi mara inasukari nyingi mara sijui nini hii ni mbinu adui anatumia kumuharibia mwenzio biashara. Sawa ajali kazini tunaendelea kunywa product ya coca cola mboba mabasi yakipata ajali tunapanda bado ? Acheni kuharibu brand za wenzenu. Na kweli kaleta na kapicha kake kwa nini usiwafate coca wenyewe uwaeleze wachukue hatua kama ni kweli.
 
TUNAWAJUA HAWA HATA KWENYE KHANGA WAPO
 
TUTAJUAJE UMEWEKA WEWE ACHEN KUCHAFUANA AWAWEZI KUWA MAZOMBI KUNA WACHAGA WENYE AKILIZO KULEE
Hii soda ipo na haijafunguliwa. Siwezi fanya jambo kama Hilo Mzee, binafsi nimeshangaa sana kuona upuuzi kama huu tena kwa kampuni kubwa kama Coca cola
Watu wanapenda sana kuchafulia wenzao biashara ndiyo maana hatuendelei. Kila siku utasikia coca cola sijui haifai kwa matumizi mara inasukari nyingi mara sijui nini hii ni mbinu adui anatumia kumuharibia mwenzio biashara. Sawa ajali kazini tunaendelea kunywa product ya coca cola mboba mabasi yakipata ajali tunapanda bado ? Acheni kuharibu brand za wenzenu. Na kweli kaleta na kapicha kake kwa nini usiwafate coca wenyewe uwaeleze wachukue hatua kama ni kweli.
Nani anachafua biashara ya mtu...sijaweka kwa Nia ya kuchafua biashara, nimeweka kwani ndo mara ya kwanza nakutana na hiki kitu. Punguza mihemko jamaa.
 
So unahisia wao ni wajinga mpaka wakukipe Kwa huo ujinga WA kutengeza
Mawazo mfu sana haya....sijasema nahitaji kulipwa wala Nini, ila nimeweka kwa lengo la kujifunza hivi vitu, kwani ni mara ngapi unaweza nunua soda na kukuta chupa imepasuka kidogo mdomoni au kukuta kutu?
 
Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
Marketing Competition Sabotage. Naona Wapinzani wao wakubwa wa Vingunguti nao safari hii wamelipa Kisasi chao.
 
Back
Top Bottom