Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,649
Mphamvu when will you learn to control your emotions?Obama, sure...
Mphamvu when will you learn to control your emotions?Obama, sure...
Hahahaaaa that's nonsense.
Give us evidence Nyani Ngabu
You got me this time, me is still on therapy, remember?
Kwanini umekimbilia kwa huyo jamaa, inawezekana hata hajawahi kumuona uso kwa macho. Unafeli blaza, kuwapa watu kick kwa sababu ndogo, unajidhalilisha pia.
Tabibu gani unakuwa sio mvumilivu, wenzio wanaotibu vichaa huwa inawalazimu kuwa kama wagonjwa wao wakati mwingine, permanently... And that is an ultimate sacrifice!Hahahaaa sawa bana
Simpi kick
nimemuita sababu na yeye sio fan wa Obama
so kama na yeye kasikia kitu substantial nimemuita aweze ku share...
sijasema anamjua wala kamuona...yeye ni Republican supporter...
hujajibu swala la evidence still
Tabibu gani unakuwa sio mvumilivu, wenzio wanaotibu vichaa huwa inawalazimu kuwa kama wagonjwa wao wakati mwingine, permanently... And that is an ultimate sacrifice!
Nilikuwa sijafikiria kama huyu ndio wewe wa humu!
Too bad you can't see that i'm starting to show symptoms za Mphamvu syndrome.....I kid
Ndiye, nimekuwa nakucheki tu humu for a while......lol
Teh teh, sipendi kumjadili kwa kuwa nia aina ya watu ambao wamejikabidhisha kwa mfumo, wamekuwa mavuvuzela na wateja wa kila kitu kinachotoka huko. Sisi wengine tunaamini mapambano bado yanaendelea, na ipo siku tutashinda.
Kuhusu ushahidi, kabla sijadondoka nondo zangu hapa... Wewe huna wasiwasi na yule mja?
Rumors zipo lakini rumors sio fact
Sasa kwanini romours zisiwe kwa Fidel, au Putin, au hata rais wetu handsome... Kwanini yeye? Na yeye amekuwa Rais wa pekee kukomalia sana haki za mashoga na wasagaji kwenye mataifa masikini.
Na bado kuna hadithi za behind the scene za waliosoma nae chuo kitambo...
Waliosoma nae chuo kipi? una link nitazame?
rumors zipo za kila aina
Kwa Wamarekani watu waliotajwa rumors za kuwa gay ni wngi sana
Will Smith,Jay Z na wengi tu wengineo
kuhusu yeye kukomalia
unapaswa kujifunza kuhusu politics za Marekani
chama cha Obama traditionally ndio chama chenye gay supporters ambao ni karibu au zaidi
ya 10 percent ya wamarekani
hiyo idadi ni kubwa kwa anaeomba kura kama Obama....vitu vingine ni politics tu...
ndo maana nilimtag Nyani Ngabu sababu anajua American politics ilivyo hata kama ham support Obama

Yasmini na ndoa zake za lazima. Hata hivyo, mwandishi haoneshi hatma ya mtoto aliyezaliwa ikiwa ni matokeo ya mapenzi ya Denge na Yasmin.Mhusika gani unayekufanya mpaka usitue kitabu chini?
Kati ya hawa- Denge, Yasmini, Mwajuma, Inspector Wright, Koplo Matata?