4th july wapi mazee?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Aisee happy 4th july kwenu wote.......it a wonderful day kabisa......nasheherekea hapa naumwa na mbu najiandaa kupamba na foleni kesho....nyie mnafanya nini?
 
Aisee happy 4th july kwenu wote.......it a wonderful day kabisa......nasheherekea hapa naumwa na mbu najiandaa kupamba na foleni kesho....nyie mnafanya nini?

Usiniambie tunafanya kazi pamoja? Sie wenye chekechea tunakula vumbi sabasaba! Baada ya kulazimishwa na madogo wanataka kumwona simba na mabaunsa wa jwtz
 
Oh !yaani Obama kuja sasa mnataka tujishebedue na hata siku zao za kumbukumbu ya mwisho wa makonzi ya mwingereza?tupisheni hapa!
 
Hivi kwa kuwaza nani atatambua miaka 126 ya uhuru wa huko mnakobeba mabox?
 
Kule kwao ni siku ya ukombozi.


Sasa si akajumuike na wenzake huko kwao kwani ukombozi wao sie unatuhusu nini? Huku kwetu tuko bize na kazi na wengine wako bize kurudisha takataka barabarani baada ya kuondoka Obama. Yeye anataka kujumuika na mabishoo wa kitanzania wanajifanya wamarekani weusi basi aende kutangaza kwenye ukurasa wake wa Facebook kwani hiyo ni personal issue na inamuhusu yeye siyo sisi watanzania wote. Idumu 09 December, 1961 hizo za wengine hazituhusu. Hawa ndo wale watanzania wanaoshabikia Thanks giving hapa Tanzania wkati hata katika historia ya marekani hawahusiki na nobody cares about them.
 
Back
Top Bottom