zumaridi

  1. JanguKamaJangu

    Kesi ya Zumaridi yakwama kusikilizwa leo Oktoba 17, 2022 kisa maumivu ya mguu

    Kesi inayomkabili Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake imeshindwa kuendelea leo Oktoba 17, 2022 baada ya mtuhumiwa huyo kudai kuwa ana maumivu makali ya mguu na kuomba kesi hiyo ihairishwe ili apate matibabu. Mfalme Zumaridi alitarajiwa kuanza kujitetea leo katika kesi...
  2. JanguKamaJangu

    Zumaridi na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imewakuta na kesi ya kujibu, Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake nane katika mashtaka matatu yanayowakabili. Washtakiwa katika kesi hiyo ya Jinai namba 12/2022 ni Zumaridi, Amos Kailembo, Isaya John, Isaka Mafuru, Neema Julian, Suzana Simon...
  3. B

    Upelelezi kesi ya Zumaridi haujakamilika, kwanini anashikiliwa?

    Kwenye himaya ya walamba asali uongo uongo ndiyo kwao. Mambo nyeti hufanyiwa siasa. Alisema Samia watuhumiwa waache kukamatwa bila upelelezi kuwa umekamilika. Hizo kumbe zilikuwa hekaya za abunwasi tu. Kumesikika Mwanza: "Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hemedi Khalid ameieleza Mahakama ya...
  4. JanguKamaJangu

    Watoto wa Mfalme Zumaridi wafika Mahakamani, leo Septemba 9, 2022

    Watoto wa mfalme Zumaridi hii leo Septemba 9, 2022, wamefika Mahakamani kufuatilia kesi ya mama yao. Zumaridi na wafuasi wake nane wanakabiliwa na kesi ya kujeruhiwa askari polisi na kuwazuia kutekeleza majukumu yao na inaendelea na ushahidi. Source: EATV Pia soma: Mfalme Zumaridi aonesha...
  5. Lady Whistledown

    Hakimu kesi ya Mfalme Zumaridi agoma kujitoa katika kesi hiyo

    Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza, Monica Ndyekobora anayeendesha kesi ya jina inayomkabili Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ amegoma kujitoa katika kesi hiyo kwa maelezo kuwa maombi ya mshtakiwa huyo anayetaka ajitoe hayana mashiko. Hakimu Ndyekobora ametoa uamuzi huo...
  6. JanguKamaJangu

    Maombi ya Zumaridi kutokuwa na imani na Hakimu yakosa majibu Mahakamani, Julai 18, 2022

    Maombi ya mshtakiwa Diana Bundala "Mfalme Zumaridi" ya kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha kesi namba 10 ya kujeruhi askari na kumzuia afisa ustawi kutekeleza majukumu yake yameshindwa kupata majibu baada ya Hakimu huyo kudai alipata changamoto ya kiafya. Mapema leo hii mfalme Zumaridi...
  7. Sky Eclat

    Kikombe au bilauri ya karne ya 17 iliyotengenezwa na Zumaridi (Emerald)mali ya Mfalme wa Mughal India

    Bilauri ya Mfalme Jehangir wa Mughal India. Inasadikika sumu ikiwekwa katika emerald ina react, hivyo Wafalme wa zamani walitumia vyombo vya emerald kama sehemu ya kujilinda. Vyombo hivyo vilitengenezwa Persia.
  8. Lady Whistledown

    Mfalme Zumaridi aonesha kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha shauri lake

    Wakili wa Diana Bundala, Steven Kitale amewasilisha leo ombi la kumkataa Hakimu Monica Ndyekobora na kudai kuwa, mteja wake hana imani na Hakimu huyo wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza Katika kesi hiyo yenye namba 10/2022, Mfalme Zumaridi na wenzake 8 wanakabiliwa na shtaka la...
  9. JanguKamaJangu

    Shahidi kesi ya ‘Mfalme Zumaridi’ augua mahakamani, kesi yapigwa kalenda

    Kesi inayomkabili Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake 83 imeshindwa kuendelea baada ya shahidi wa upande wa Jamhuri ambaye ni askari wa Jeshi la Polisi, Sajenti Evodius kuugua muda mfupi kabla ya kuanza kutoa ushahidi wake. Katika kesi hiyo ya jinai namba 12/2022 Mfalme Zumaridi na...
  10. JanguKamaJangu

    Kesi nyingine ya ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 84 yapigwa kalenda hadi Mei 24, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imeahirisha kesi namba 10 inayomkabili Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na kesi namba 12 inayomkabili mhubiri huyo na wenzake 84 ili kupisha usikilizwaji wa shauri lingine la mauaji. Katika shauri namba 10, Mfalme Zumaridi anakabiliwa na...
  11. JanguKamaJangu

    Upelelezi kesi ya ‘Mfalme Zumaridi’ haujakamilika, wawili watoka kwa dhamana

    Upelelezi wa kesi ya usafirishaji haramu wa binadamu inayomkabili Diana Bundala ‘Mfalme Zumaridi’ haujakamilika, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Mwanza, imeelezwa leo Alhamisi, Aprili 14, 2022. Zumaridi na wafuasi wake 83 wanakabiliwa pia na shtaka la kushambulia na kuzuia maofisa wa Serikali...
  12. Nyuki Mdogo

    INAUZWA Jijini Mwanza: Mfalme zuma anauza pikipiki yake King Lion 1,800,000

    Pikipiki ni King Lion Cc 150 Gia 5 ametembea mwaka mmoja Hana shida yoyote njoo na hela yako tu Engine nzima kabisa 1,800,000 Nipo Nae machinjioni hapa 0713096076
  13. BigTall

    ‘Mfalme Zumaridi’, wenzake wafikishwa Mahakamani, akwama kupata dhamana

    Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 83 leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali ya mashtaka yanayowakabili. Zumaridi na wenzake wanakabiliwa na makosa matatu ikiwamo ya usafirishaji haramu wa binadamu, shambulio...
  14. M

    Saluni inayo mpamba Mfalme Zumaridi inastahili Heshima!

    Bila shaka wanaompambaga Mfalme Zumaridi Wana nafasi Yao Peponi! Kwa kweli baada ya wiki tatu za kukaa jela, kumedhihirisha ubora wa Wapambaji wake! Sisi waumini wake Tunajivunia Kazi yenu
  15. John Haramba

    Mwanza: Mfalme Zumaridi, wenzake wafikishwa mahakamani, ajifunika uso kwa kitenge

    Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 84 leo Alhamisi Machi 17, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kusomewa maelezo ya awali katika mashtaka matatu ikiwamo usafirishaji haramu wa binadamu. Makosa mengine ni pamoja na kusanyiko lisilo na kibali na...
  16. B

    Wafuasi wa Zumaridi wanapotoa Somo kwa Makamanda

    Wafuasi wa Zumaridi wakiwamo makerubi wameendelea kutoa masomo kwa makamanda wote bila kujali upande wao kuhusiana na nguvu ya umma. Walipo sasa wanaliliwa hali ili wakubali kupewa dhamana. Kwa hakika imekuwa mzigo wa kutosha kwa timu pendwa hii: Hawa ni watu 85 tu, sembuse wangekuwa 100...
  17. John Haramba

    Video: Vituko vya 'Mfalme Zumaridi', amchumu mwandishi Mahakamani

    Siku chache tangu Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kumkamata Diana Bundala maarufu kwa jina la Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Zumaridi, ameendelea kutrend mitandaoni kutokana na vituko vyake. Akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza alipofikishwa na wenzake, Machi 2, 2022...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Mfalme Zumaridi na Makerubi wake wanatembea kama mazombie?

    Mfalme Zumaridi na Makerubi wake wakiingia kanisani. Huenda hata mi ni kerubi lakini sijijui. Jamani mkiniona huko nikomboeni, nipelekeni Mirembe fasta
  19. John Haramba

    Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

    Mchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili. Msafara wa magari matatu aina ya difenda zilizolindwa na askari waliojihami kwa silaha umewasili katika mahakama hiyo saa...
Back
Top Bottom