yanga kuchukua ubingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kong xin cai

    SoC04 Jinsi mfumo wa "Angalau D nne" unavyoshusha thamani ya elimu nchini

    Utangulizi Katika mfumo wa elimu wa tanzania mwanafunzi anaanza kitado cha kwanza hadi cha nne, ukifaulu vizuri unaendelea kidato cha tano na sita mpaka chuo, lakini kumekuwa na uanzishwaji wa vyuo vinavyodahili wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na kupata angalau D nne, hawa wanafunzi huwa...
  2. Suley2019

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani...
  3. NALIA NGWENA

    Asante sana Fistoni Kalala Mayele kwa goli lako bora la siku. Wanayanga hatuna cha kukudai

    Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo huo. Mayele mpaka sasa ndiye kinara katika mbio za mfungaji bora wa michuano hiyo akiwa tayari...
  4. Jbst

    Nina wasiwasi kwa Yanga kuchukua ubingwa

    Mimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo. Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo nyumbani. Game dhidi ya singida tutakua away kumbuka Singida anatofautina na Azam point 1 tu hivo...
Back
Top Bottom