watawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I am Groot

    Yesu alitoa muongozo na majibu ya maswali ya taratibu za talaka kwenye ndoa, kwa nini watawa wa kanisa katoliki hawaoi?

    Kwenye Suala la kutoa talaka: Yesu aliwajibu wafarisayo walipomjaribu; Wakamuuliza: “Basi, kwa nini Musa aliagiza kutoa cheti cha kumfukuza na kumtaliki?” 8 Akawajibu: “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Ninawaambia...
  2. Wildlifer

    Kisa cha RC Namfua na Watawa huko Kilimanjaro

    Salaam wanahistoria! Leo nilikuwa mahala fulani napiga soga na kiongozi mmoja wa Kanisa Katoliki. Soga zetu ziligusa maeneo mengi hasa Historia ya Tanzania wakati wa utawala wa Mwalimu. Kwa sababu ya utofauti mkubwa wa kielimu, umri na uzoefu wa maisha, nilikuwa msikilizaji zaidi huku...
  3. Analogia Malenga

    California - Marekani: Watawa walima bangi

    Wanawake hawa ni "Masista wa eneo hilo," wanaojulikana zaidi kama Watawa wa bangi. Wakiongozwa na Mtawa Kate, wanawake hao ni wanachama wa kundi linalojiita watawa wanaojitambulisha kama watetezi wa haki za wanawake, lakini muhimu zaidi, ni wafanyabiashara. Licha ya kuwa California...
  4. The Evil Genius

    Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

    Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia. =====/ Pope Francis has warned priests and...
  5. Sildenafil Citrate

    Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

    Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo. Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona...
  6. Lady Whistledown

    Update: Watawa waliotekwa Nchini Nigeria waachiwa huru

    Watu wenye Silaha wamewaachilia huru "bila kujeruhiwa", Watawa 4 wa Kikatoliki waliotekwa nyara mapema wiki hii katika jimbo la Imo Kusini-Mashariki mwa Nigeria. Msemaji wa Polisi katika eneo hakuweka wazi iwapo kuna malipo yalifanywa kwa Watekaji ili kuwaachia huru Watawa hao. --- Nigerian...
  7. BARD AI

    Wasiojulikana wateka Watawa wanne Nigeria

    Katibu Mkuu wa Makao ya Watawa, Zita Ihedoro, amesema watawa hao wanne walikuwa wakisafiri kutoka Jimbo la Rivers kwenda jimbo la Imo kwa ajili ya Misa ya shukrani. Tukio hilo linakuja ikiwa ni miezi mitatu tangu Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini humo kufurushwa na watu wenye silaha katika...
  8. BARD AI

    Watu wasiojulikana waiba vikombe nyumba ya Watawa

    Mtu asiyefahamika ameingia nyumba ya watawa wa Shirika la Veronika lililopo Soweto, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na kuiba vikombe vya kuwekea komunyo (siborio). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kutokana na uzembe uliofanyika...
Back
Top Bottom