tumuunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Tumuunge mkono Waziri Ndumbaro kwenye uzalendo wa kuvaa jezi

    Simba na Yanga zimeanzishwa miaka ya 1930's, lakini hazijawahi kushinda mataji makubwa ya Afrika kwenye mpira. Baadhi ya sababu za kushindwa kushinda mataji ni pamoja na kuhujumiana zenyewe kwa zenyewe zinapokutana timu za kigeni. Huu ni utamaduni/utani wa jadi ni mbaya sawa na utamaduni wa...
  2. K

    Tumuunge mkono Nadhifa. Hata Magu alikuwa anakasirika!

    Ukweli ni kwamba katibu mkuu aliye tenguliwa ni watu tunao waita “no nonsense” yaani hawapendi ujinga ujinga kama alivyokuwa Magufuli. Lakini tabia hii haitoshi kumfukuza mtu kazi ambaye ni mtaalamu wala sio mwanasiasa. Watanzania wanataka maji safi na bora na huyu hajafika hapo kwa bahati mbaya...
  3. Rashda Zunde

    Wanawake tumuunge mkono Rais Samia kuvutia uwekezaji

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na...
  4. MamaSamia2025

    Wana CCM tumuunge mkono Mbowe, kaonesha uzalendo

    Baada ya kutazama hotuba ya kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe huko Marekani nimefurahi sana kwa jinsi alivyoonyesha uzalendo. Ikumbukwe Mbowe katoka familia ya mpigania uhuru wa nchi hii hayati Aikaeli Mbowe. Ilikuwa ikishangaza sana kuona Mbowe akiwa kinyume kabisa na maono ya baba yake...
  5. Chagu wa Malunde

    2025 tumuunge mkono mama Samia. Kama kuna dukuduku la mapungufu tumweleze ashughulikie. Hakuna haja ya kuwa na makundi

    Ni vyema tukubali kuwa kazi inaendelea. Miradi mikakati inakwenda vizuri. Mfano daraja la Wami limekamilika. Sgr kipande cha Dar Moro kipo tayari na na kitaleta mabadiliko ya maisha kwa wananchi. Tumuunge mkono mama ili kazi iendelee. Hakuna haja ya kuwa na makundi na na kuleta kauzibe kwa mama...
  6. JF Member

    Kila anaepewa nafasi anatulazimisha tumuunge mkono Rais Samia

    Kwani kuna nini huko? Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani? Kuna kitu hakiko sawa huko? Halafu mtu anatulazimisha tumuunge mkono halafu akiachia mic anakuja kulalamika kama sisi tu...
  7. J

    Rais Samia ni Jasusi wa Kiuchumi, tumuunge mkono

    RAIS SAMIA NI JASUSI WA KIUCHUMI TUMUUNGE MKONO. Kuna wakati ili Utalii wetu upanuke zaidi tunahitaji jasiri wa kusimamia lakini si kwa kutoa majibu mepesi kwa industry yenye kuhitaji majawabu huru. Kwa zama hizi, tena kwa kwa utitiri huu wa vyombo vya habari na kuzagaa kwa mitandao kushindwa...
  8. Crocodiletooth

    Makampuni tumuunge mkono mkuu wa mkoa Dar es Salaam

    Ni ushari wangu binafsi kwa makampuni tumuunge mkono mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam katika juhudi zake za kulirudishia jiji letu Hadhi yake, mwenye kuweza kuchangia pavement achangie, mwenye kuweza kuchangia vyuma achangie. Mji wetu unahitaji sana vyuma vya separation kati ya barabara za...
  9. AUGUSTINO CHIWINGA

    Rais Samia ana nia njema, tumuunge mkono tumtie nguvu mama yetu

    Kasi ya ustawi wa maendeleo na ujenzi wa Taifa imara imeendelea kuonekana katika uongozi huu madhubuti wa Serikali ya awamu ya Sita ya Mama yetu Mh. Rais Samia Suluhu. Ujenzi wa miundombinu katika sekta za barabara,maji, nishati elimu na afya imeendelea kupamba moto kote nchini. Kazi hiyo ni...
  10. Memento

    Kwa wapenda mageuzi wote inahitajika nguvu na akili kidogo tu tuweze kushinda, tumuunge mkono Lissu

    Baada ya jana Rais kuulizwa maswali ya kimtego na kuyajibu kiholela, ni dhahiri inahitajika nguvu kidogo tu kupata yale tuliyoyapigania kwa miaka mingi. Hadi sasa raisi kishaonyesha hana nguvu ya kuzuia wananchi wanachodai na tayari kishaanza kuchoka. Tusipotumia nguvu na akili kidogo kwa huyu...
Back
Top Bottom