tra tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Fostering positive attitudes towards taxpayers

    “A Collaborative Approach in Tanzania's Tax Administration System” In any thriving economy, the relationship between taxpayers and the government is paramount. It is not merely a transactional interaction but a partnership aimed at fostering economic growth, social development, and the overall...
  2. Jamii Opportunities

    Deputy director research and fiscal policy advisory at TRA

    Job Title: Deputy director research and fiscal policy advisory Responsibilities To coordinate development, review and implementation of research policy, guidelines, standards and procedures. To supervise planning and execution of research functions. To supervise preparation of annual forecast...
  3. lumwetuli

    Karibuni Lumwe Tax & Consulting service

    Tangazo: Habari za leo wateja wetu wapendwa, Tunapenda kuwatangazia huduma zetu za ushauri wa kodi. Kama mmiliki wa biashara au mtu binafsi, tunaelewa ugumu wa kuendesha shughuli zako za kila siku na wakati huo huo kukidhi mahitaji ya kodi. Hapa ndipo tunapokuja na kusaidia kufanya maisha yako...
  4. lumwetuli

    Huduma ya tax consultancy

    Karibu kwenye huduma ya Tax Consultancy! Tunatoa huduma za ushauri wa kodi kwa wafanyabiashara, watu binafsi na mashirika ya umma katika kuhakikisha kwamba wanatimiza majukumu yao ya kodi kwa ufanisi na ufanisi. Timu yetu ya wataalam wa kodi wana uzoefu wa miaka mingi katika uwanja wa ushauri...
  5. mangiTz

    Swali kwa TRA kuhusu makato ya kodi kwa wafanyabiashara waliopo VAT na Non VAT registered

    Habari Wana JF. TRA Tanzania naomba ufafanuzi kwanini mfanyabiashara ambaye hayuko VAT akiuza bidhaa Kodi yake haikatwi kwenye faida badala yake anakatwa katika mtaji na faida kitu ambacho Kodi inakuwa kubwa ambayo inaelekea pengine wengi hukwepa Kodi(yaani kutoprint risiti za EFD) Mtu...
  6. comte

    TRA matumizi yenu ya mitandao ya kijamii yana mapungufu na ni upotevu wa raslimali

    sasa bandiko kama hili linajibu swali la bwana yule mliyemtoza mamlioni kwa pampas na viguo vya mtoto. Hamuwezi kutumia mifano rahisi kuwafanya wananchi waelewe? Mfano shida ya watanzania wengi iko hapa; Mtu kanunua gari kwa dola 1000 sawa na TZS 2,270,000 inakuwaje anaishia kulipa TZS...
  7. saidoo25

    Bunge linapitisha mambo mimi kama mtanzania nikiangalia naingia huzuni

    MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna baadhi ya mambo ambayo Bunge letu limefanya ni mambo ndivyo sivyo,hakuna anayejua mambo haya ni ndivyo...
Back
Top Bottom