The culture of Kenya consists of multiple trends. Kenya has no single prominent culture that identifies it. It instead consists of various cultures practiced by the country's different communities.
Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄.
Tupeane ka support hapo.
Wasiliana na Mimi kupitia (WhatsApp and normal) +255 743 016 950
Kupanda kwa gharama za uzalishaji kumesababisha kupanda kwa bei ya kifaranga cha kuku kwa Sh300 kutoka Sh1,800 hadi 2,100, hivyo kutishia mustakabali wa wafugaji.
Inaelezwa ongezeko hilo la bei lilianza kushuhudiwa tangu Juni, hali inayowaweka wafugaji katika wakati mgumu kiasi cha baadhi yao...
Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler).
Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia linasumbua.
Tafadhali mwenye kujua formula ya utengenezaji wa chakula hicho na kuku akakua vizuri. Na kama...
Habari za wakati huu
Nahitaji kujua wapi nitapata vifaranga bora vya kuku wa nyama (broiler) kwa maeneo ya Dar au Pwani na bei zao zikoje.
Nikipata mawasiliano itakua nzuri zaidi.
Kwa mujibu wa uongozi wa soko la kuku Shekilango na Manzese ni kwamba kuna uhaba mkubwa wa kuku wa kisasa (broiler) sokoni hali inayopelekea wauza chips kutatizika
Inadaiwa uhaba huo huenda umesababishwa na katazo la serikali la kuagiza vifaranga kutoka nje ya nchi
Source: ITV habari
Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa.
Eneo la Mradi: Kazimzumbwi - Kisarawe (Pwani)
Anatafutwa mtu mwenye sifa:-
Mwenye ujuzi na uzoefu wa kusimamia na mradi wa ugugaji wa...
HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER)
Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu...
Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa.
Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Mpaka sasa takwimu...
Habari wakuu,
Ufugaji wa kuku wa nyama umekua mkonbozi sana kwa wafugaji wengi lakini tatizo linakuja kwenye soko la uhakika la kuwauza hao kuku, mwisho wa siku wanajikuta wakiingia hasara.
Habari njema kwao, kama wewe ni mfugaji wa hawa kuku wa nyama (broiler) na unapatikana Dar es salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.