investor

An investor is a person that allocates capital with the expectation of a future financial return or to gain an advantage. Types of investments include: equity, debt securities, real estate, currency, commodity, token, derivatives such as put and call options, futures, forwards, etc. This definition makes no distinction between the investors in the primary and secondary markets. That is, someone who provides a business with capital and someone who buys a stock are both investors. An investor who owns a stock is a shareholder.

View More On Wikipedia.org
  1. OLS

    Mtaalamu ashauri baadhi ya ibara ndogo katika ibara ya kwanza zifutwe kwenye mkataba na DP-World

    Ibara ya 1 ya makubaliano na serikali ya UAE kinatoa kwanza tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye mkataba. Neno “Project Company” limeandikwa kuwa litamaanisha DP-World au kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania (ikiwa ni Kampuni Tegemezi ya DP-World) ambayo imeingia Mkataba wa Mradi kwa ajili ya...
  2. M

    Mwekezaji atakayewekeza kwenye gharama za uendeshaji wa kampuni

    Habari wakuu, Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
  3. Bata Boy Official

    Natafuta mwekezaji (Investor) wa App yangu ya Online Casino

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ninatamani na ninapambana sana kuwa mjasiriamali upande wa mtandaoni (online au e-entrepreneur). Miaka kadhaa iliyopita nilipata idea ya App ya Online casino (ambayo ni tofauti na online casino zilizoeleka kwa kila kitu),ila kwasababu idea kama idea haitoshi...
  4. Jamii Opportunities

    Manager Secretarial Services & Investor Relations at Akiba Commercial Bank PLC

    The Bank is looking for a high caliber Legal professional to provide strategic leadership and play an integral role in Investor Relations and Corporate Governance. Reporting to the Head of Legal & Company Secretary, the role is primarily responsible and accountable for overseeing proper...
  5. peno hasegawa

    Investor

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
  6. A

    Indices trading partner / investor anahitajika

    Habarini Wana jukwaa Nahitaji investor serious awe na uelewa hata kidogo wa masuala ya online volatility index trading. Kiwango cha chini cha investor huyu kianzie Million 5. Nafanyia kazi mahala alipo yeye yaan nakuwa naye muda wote . Kiwango Cha chini Cha faida katika uwekezaji wake ni 30%...
  7. Zorrander

    Looking for Serious Investor kwenye kampuni ya ujenzi (Civil & Building Construction)

    Natafuta mtu mwenye interest ya kuingia kwenye construction industry. Kampuni ilipata usajili brela 2014, baada ya kuhangaika mwaka mzima 2015 kutafuta miradi hatimae mwaka 2016 kampuni ilianza kupata projects mbalimbali. Tumefanikiwa kupata projects za majengo, barabara, na maji. Projects...
  8. LIKUD

    Wanaume tumeruhusu wanawake wahodhi nguvu za kiroho (uchawi) then there is no hope for the future

    Come to think of it. Ndio maana Mungu alisema kwenye kitabu cha KUTOKA 22:18 " Usimuache mwanamke mchawi aishi" Kwa Mungu ambae Ndio ametuumba watu wote, kuliko mwanamke kuachwa hai akiwa na nguvu za Uchawi ni Heri Kwa mwanamke huyo kuuwawa kuliko kuachwa aishi. Na hii ni Kwa sababu Mungu...
  9. iKiki93

    Natafuta mwekezaji / angel investor

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mjasiriamali. Na natafuta mwekezaji ama angel investor kwa ajili ya biashara ya mgahawa wa burger jijini Dodoma.
  10. Masokotz

    Umewahi kufikiri kuwa angel investor?

    Natambua kwamba kuna watu wengi ambao wangependa kuwa wafanyabiashara, wajasiriamali au hata wawekezaji. Pia wapo wengi ambao pamoja na kutamani hayo yote bado wanakuwa na changamoto ya kupata mitaji inayoeleweka ili waweza kufanya biashara. Ukifikiri kwa utaratibu utaona kwamba katika maisha...
Back
Top Bottom