dk. mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kimsboy

    Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

    Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!! Kama mnadhani mtafanikiwa...
  2. D

    Sekeseke la Misafara ya Viongozi ni kero ya kudumu. Hongera Dkt. Mpango kwa kulitambua

    Habari Siku moja nilikuwa namgonjwa natokea Kahama, Ikabidi tuondoke mapema ili kuwahi dar es salaam mhimbili! Tulipofika maeneo misigiri singida tukawekwa kando kupisha msafara. Tumekaa nusu saa kimya hakuna kiongozi aliyepita! Nikaona bora nisogee kidogokidogo kupitia rafu road (njia ya...
  3. B

    Dkt. Mpango: Aliyetoweka na kufanyiwa matanga hatimaye alipatikana mbaroni Polisi

    Hii nchi ni ngumu sana. Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola. Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo: Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marafiki zetu hawa wangali hai...
  4. S

    Mradi wa umeme uko asilimia 12 tu na umechelewa kwa miezi 8 Dk Mpango asema hataki kusikia kiswahili wala kisingizio

    Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameinyooshea kidole Wizara ya Nishati kutokana na kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 132 kutoka Tabora hadi Katavi ambao umechelewa kwa takribani miezi 8 sasa. Ujenzi wa Mradi huo uko asilimia 12 tu...
  5. J

    Dk. Mpango akunjua makucha aivaa Wizara ya Nishati kusuasua kwa mradi wa umeme

    Makamu wa Rais, Dk. Philip Isdori Mpango amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa umeme wa Gridi ya Taifa katika Mkoa wa Katavi na kuiagiza Wizara ya Nishati kuhakikisha ifikapo 2023 mradi uwe umekamilika na hataki kusikia kiswahili wala kisingizio anataka Mkoa wa Katavi uwe...
  6. GENTAMYCINE

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

    "Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo "Nawaomba tu kuanzia sasa zile...
  7. Nyendo

    Dk. Mpango: Tanzania haijawahi kujitoa Mahakama ya Afrika

    Serikali ya Tanzania November4 2021 ilikanusha madai yalionezwa kuwa serikali ya Tanzania imejiondoa katika mahakama ya Afrika aya haki za Binadamu na Watu. Akizungumza katika Mdahalo wa Tano wa Mahakama ya Afrika, mkutano uliowakutanisha wadau wa sheria na mahakama kutoka nchi mbalimbali za...
Back
Top Bottom