developer

  1. Crocodiletooth

    Natafuta property developer atakaye endeleza jengo lenye apartment 4

    Habari zenu waungwana, shida yangu kubwa ni kwamba natafuta mtu mwenye kauwezo fulani ili adevelop kwa kurenovate jengo la ghorofa moja lililopo pahala pazuri kweli pana paking kubwa ya kupaki gari kumi mbele, kuna barabara safi ya lami Jengo likikarabatiwa litawezwaa kuishi familia 4. Karibuni...
  2. Izzi

    Nahitaji App developer

    Habari wanajukwaa, Nahitaji App developer ambae ana uwezo wa kutengeneza simple, functional news app. Kama wewe ndiye ninaemtafuta basi nicheki DM. Naomba kuwasilisha.
  3. Samedi Amba

    Developer anayefanya sybmission ya kwenye playstore na appstore anahitajika

    Habari wanajamvi, Kuna wadau nimekutana nao hapa Ionic Woocommerce - Themes-Coder Wanafanya kazi nzuri sana. Sasa kuna mteja alitaka kusubmit app yake, na hana ios/playstore credentials. Sasa kama unaweza kusaidia katika hili, tuonane inbobo. Asanteni, na jumapili njema
  4. Samedi Amba

    Natafuta Laravel/PHP Developer

    Hello wanajamvi, Natafuta PHP Developer wa kuteam naye muda mrefu. Lazima awe na portfolio inayoeleweka, na awe na angalau muda usiopungua masaa 15 kila wiki. Ni freelance agency. Ukiwa na vigezo ni PM.
  5. Null Pointer

    Natafuta sehemu ya kufanya kazi part time

    Salaam Wakuu! Poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30. Ninaishi Dar es salaam. Nimeajiriwa kama Software Developer sehemu fulani. Natafuta sehemu ya kufanya part time nje ya muda wa kazi. Lengo ni kuongeza kipato na pia kupata uzoefu nje ya mazingira ya kazi. Nimesoma degree ya...
  6. K

    MERN stack developer or React Native developer anahitajika

    Je kama wewe ni full stack javascript developer, MERN (MongoDB, ExpressJS, ReactJS, NodeJS) au una experience na REACT NATIVE with FIREBASE or NODEJS backend, tuwasiliane kupitia namba hizi 0788 826 982.
  7. Dr Orb

    Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
  8. R

    Wewe kama Developer/Tech Company unatumia vigezo gani kuithaminisha na kuipa bei kazi yako .?

    Habari zenu JF Nimekuwa nikipitia uzi mbalimbali huku JF, pamoja na majarida mengine mbalimbali mitandaoni, na kugundua kuwa kuna utofauti mkubwa sana kati ya developers au tech companies inapofika kipindi cha kuthaminisha kazi inayoletwa na mteja. Hi ni moja ya sababu inayochangia kutokukua...
Back
Top Bottom