crdb

  1. analysti

    Gharama za SIMBanking CRDB

    Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Lakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata...
  2. S

    Matawi ya Benki za NMB Mafinga na CRDB Kibondo, yanaendelea kutoa huduma?

    Kuna taarifa ziko mitandaoni kuhusu matawi haya kuwa yamefungwa kutokana na issue fulani(sababu inafanana), hivyo tunaomba mnaoweza kutupa ushuhuda mtupe. Naona hata Halima Mdee nae anadai kupata taarifa hiyo(ya NMB Maafinga). Kazi tunayo. Naomba niishie hapa.
  3. Z

    Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

    Jeshiii aka tembooo ndio balozi wa benki maarufu Tanzania CRDB Bank. Haya siyo mafanikio ya kubeza asee. Huyu jamaa anakoelekea hamtokaa muamini.
  4. K

    CRDB, NMB nani baba lao?

    Je umekuwa ukijiuliza juu ya benki gani ina matawi mengi na waajiriwa wengi Zaidi nchini? Vipi kuhusu mali zake na faida ipatikanayo? Mchango wake katika bajeti ya serikali ni wa kiwango gani? Kanuni ya saba na nane ya kanuni za mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inayataka mabenki na...
  5. sinzahome

    Huduma mbovu zinazotolewa sasa na benki ya CRDB

    Mimi ni mteja wa Benki ya CRDB zaidi ya miaka 10 sasa, maana kwa ninavyokumbuka niko pale kama mteja wao tangu mwaka 2008, Tangu nilipoijua CRDB mwaka 2008 huduma walizokuwa wanatoa ndio zilinifanya nijiunge na benki yao, ila kwasasa huduma wanazotoa zitanifanya niikimbie benki yao na kurudi...
  6. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi CRDB

    VACANCIES – DEPARTMENT OF ICT BACKGROUND CRDB Bank Plc is inviting applications from qualified and experienced candidates to fill the vacant positions existing in the Department of ICT. The Bank seeks to recruit highly competent, self-motivated and professional individuals to fill the...
  7. Inanambo

    CRDB Ile Interview ya Sales Executives Majibu Vipi? Mlishaita watu? Wiki mbili zilishapita kitambo

    Kulikoni CRDB Wapendwa. Nilifanya Interview zote pale Coca-Cola Mikocheni Feb mwanzoni. Mkasema majibu after two weeks. Mkanipa natumaini ya kuitwa kazini. Hadi leo March 8 hakuna majibu. Kuna walioitwa tayari? Tujulishane Wandugu.
  8. N

    CRDB mnakwama wapi?

    Ndani ya siku hizi mbili naona Sim banking ya CRDB haifanyi kazi na tangu jana usiku ATM zenu hazifanyi miamala hapa Dodoma na hamjatupa taarifa yeyote. Tupeni mwongozo
  9. ze farmer

    CRDB mbona mnataka kugeuka SACCOS

    Kwa hali isiyokuwa ya kawaida hawa jamaa wameanza sound zisizo na maana. Mnamo tar 2/01/2020 niliomba kadi mpya baada ya ile ya awali kuisha muda wake. Baada ya kujaza form na kukamilisha taratibu zote nikaambiwa njoo tar 8 kuchukua kadi mpya. Na ikumbukwe nilipo na sehemu ya kuchukulia kadi...
  10. U

    Ona CRDB Dodoma aibu, teller wapo 8 halafu watatu tu ndio wanatoa hudumu kwingine kutupu

    Jioneeni wenyewe katika picha hii nimefika hapa takribani dakika 30 nasubiri foleni ya kupata huduma kwa bank teller. Wamejenga teller 8 ajabu tano zipo tupu, waiting line/ que ni kubwa sana takriban watu 60 wengine wamekaa. Kwanini inakuwa hivi, huyu meneja ana kazi gani? Teller 5 zipo tupu...
  11. N

    CRDB POS na Sim banking inanisumbua, naomba msaada

    Nimepata changamoto za mara kwa mara kwenye mifumo inayohusiana na CRDB ,na nimesikia malalamiko toka kwa watu kadhaa sijajua tatizo ni nini hasa?? 1. POS system ni hovyo kabisa ..mara nyingi system iko down na hii imenigharimu sana muda na hela.POS za mawakala nazo ni failure kabisa naona...
  12. Jamii Opportunities

    Senior Manager; Investor Relations at CRDB Bank

    CRDB Bank PLC is looking for suitable person to fill a vacant position of Senior Manager; Investor Relations in the Department of Business Transformation at the Head Office, in Dar es Salaam. Job purpose To ensure that the Bank is appropriately and strategically positioned with analysts...
  13. Mbavu mbili

    CRDB LUMUMBA BRANCH HUDUMA YA MIKOPO HUDUMA MBOVU

    Wadau hakuna Branch inayoongoza kwa kusumbua wateja DSM kama branch ya Lumumba mkabala na stendi ya mnazi mmoja. Huduma ya mikopo wamekuwa wasumbufu mno, kiasi cha kukatisha tamaa. Wanajinadi kutoa Huduma hiyo ndani ya wiki moja, lakini cha ajabu waweza pigwa danadana mpaka wiki 3-4. Kitengo cha...
Back
Top Bottom