Matawi ya Benki za NMB Mafinga na CRDB Kibondo, yanaendelea kutoa huduma?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,129
144,626
Kuna taarifa ziko mitandaoni kuhusu matawi haya kuwa yamefungwa kutokana na issue fulani(sababu inafanana), hivyo tunaomba mnaoweza kutupa ushuhuda mtupe.

Naona hata Halima Mdee nae anadai kupata taarifa hiyo(ya NMB Maafinga).

Kazi tunayo.

Naomba niishie hapa.
 
Ndiyo, mameneja wa benki zote mbili wamefariki hivyo wanapiga dawa na wafanyakazi wameambiwa wakale mvuke.
 
Hii kitaalamu inaitwa "Automatic Discrete Lockdown Events". Waswahili wa pwani wanaita "Kusitisha Biashara Moja Moja Bila Hiyari".

Sawa umesema kuna ,,kitaalamu“ na sisi ,,Waswahili wa Pwani“ tinavyoita, Je,sasa ni ninyi Wachaga mnaitaje?
 
Kuna mtu ameniambia hayo matawi yamefungwa kwa sababu wafanyakazi wake ni washukiwa wa karibu na mabosi waliofariki kwa Corona. Hivyo baada ya wiki 2-3 kupita huduma zitarejea.
 
Ofisi za TRA Arusha ni sawa na kusema zimefungwa. Ukifika hapo hurusiwi kuingia ndani, unapewa form fulani yenye details zako halafu unaambiwa utapigiwa. Na hayo yote yanafanyika mapokezi, zaidi ya hapo hurusiwi kuvuka.
 
Back
Top Bottom