Polepole amejitahidi kuandika andika na kusema ila mwisho ameishiwa pumzi baada ya vyombo vya habari kumkataa pamoja na mvuto kwenye social media kupotea.
Huyu ni moja ya watu waliotoka familia maskini kama ilivyo kwa Bashiru na Kabudi. Kwa kuonekana wanataka kukitutumua familia za kifalme...
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!
Ni kweli wazuri Hawafi.
Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo:
1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi.
2. Amemteua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.