Search results

  1. Sam GM

    Galaxy New Video - Top In My Heart

  2. Sam GM

    Galaxy New song - Top In My heart

  3. Sam GM

    Galaxy new official video - tam tam

    Galaxy New Video Galaxy Tam Tam Please share. http://www.youtube.com/watch?v=Yh_LZ6yu2QM http://www.vevo.com/watch/QMAXQ1500489
  4. Sam GM

    TAMTAM BY GALAXY Audio - New single

    Hii ni single ya msanii chipukizi Galaxy Pia unaweza ipata Mkito
  5. Sam GM

    Geza Ulole

    Geza Ulole Kuna baadhi yetu wakati tunakuwa (growing up) tulisikia sana neno Geza Ulole, hata wakati mwingine tuliweza kuimba mashuleni kuhusu Geza ulole, baadhi yetu hatukuelewa maana halisi ya geza ulole. Kulikuwa na bendi kadhaa za muziki ambazo ziliimba kuhusu watu wahame kwenda Geza...
  6. Sam GM

    Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    JF imekuwa ni mahali pa kupashana habari na kuweza pia kuzungumzia mambo ya historia yetu na mwelekeo wa nchi. Kuna Huyu bwana anajulikana kama marehemu Dr Kleruu, mie nimekuwa nikimsikia katika wimbo wa Mbaraka Mwinshehe kuwa alikuwa mwanamapinduzi. Je, kuna yeyote anaweza kutupatia taarifa...
  7. Sam GM

    Nani Kichaa Zaidi

    Katika matukio ya siku hizi mbili zilizopita kuna kitu ambacho kila nikikisikia na kukifikiria naona kama vile sielewi vizuri labda wenye upeo zaidi watusaidie kuelewa. Huyu mtanzania mgonjwa wa akili alikuwa kalazwa Muhimbili, basi kichaa chake kikamtuma achukue stand ya kutundikia maji...
  8. Sam GM

    That Which You Cannot Give Away.......

    This issue of closing our universities really beats my understanding, I remember last year when Dar university was closed. That a learned fellow, Vice Chancellor of Dar University actually can sit down with other Dons to unanimously declare the closure of the University. Is this some sort of an...
  9. Sam GM

    America, Break the Neck!!

    Two decades ago Alpha Blondy was among the house hold names with his provocative music and descriptive lyrics. He may not be popular any more with our generation, however, his music still brings taste and flavor into the hearts and souls of many. Among many of his compositions, “America, Break...
  10. Sam GM

    Lessons From Ngapulila

    Rafiki yangu nakuaga mimi oooh, Nataka kuzamia meli nienda ngambo Kutafuta maisha eeh, kwani naona maisha ya hapa nyumbani kaka eeh Yamenishinda Nakula kwa tabu, Navaa kwa tabu eeh Kulala kwangu ghetto Basi naona shida tupu eeh Shida tupe eeeh Sina raha maskini mimi ooh Sina raha...
  11. Sam GM

    Akilala anawaota ma-ex wake

    Kuna huyu jamaa rafiki yangu mara kwa mara amekuwa akija kutafuta ushauri kwangu, mara ya mwisho kaniambia kuwa kila akilala na mkewe anawaota ma-ex wake nikashindwa kumsaidia, juzi kaja kuniambia kuwa kwa wiki mbili mfululizo amekuwa akiwaota ma-ex wake one after another mpaka akamwambia my...
  12. Sam GM

    Tanzania nakupenda kwa moyo wote!

    The folk song " Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote" was probably the country's unofficial national anthem by its popularity. It was widely embraced then by many mainstream politicians and was often sung at rallies, demonstrations and in schools. From my young days and a humble beginning in singing...
  13. Sam GM

    True Color of Democracy

    Changamoto kwa waTanzania Kwa vile hapa JF tumekuwa na tabia ya kupeana habari, kurekebishana na kupeana mikakati nimeona kuwa tukiwa na uchaguzi ambao hauko mbali sana tunaweza kuwa na mikakati au changamoto za kuleta maendeleo na mabadiliko katika nchi yetu. Kuna wakati ambapo watu...
  14. Sam GM

    Kikwete ndani ya KLHnews?

    Kwa vile JK kaamua kutokuwa na press conference kwa miezi miwili sasa na hata press yenyewe anapokuwa akiongea nayo inaonekana wapo ku-m-praise na sio kumuuliza maswali ya mwelekeo wan chi na hali halisi ilivyo kisiasa. Katika kutafuta majibu ya maswali mengi na kumpata rais wetu atupe majibu...
  15. Sam GM

    The War Crimes Charges Against Al Bashir

    Leo katika taarifa ya jioni ya BBC wametangaza kuwa mahakama ya kimataifa ya the Hague iko mbioni kutoa warrant ya kumkamata rais wa Sudan bwana Bashir kutokana na uhalifu na maovu juu ya binadamu katika eneo la Darfur na maeneo mengine ya Sudan. Pamoja na kuwa uovu mwingi umefanyika Darfur na...
  16. Sam GM

    Live, Eat, Drink and Breath JF

    Live, Eat, Drink and Breath JF It is amazing that mafisadi wanachungulia JF kila kukicha kuangalia nini kimeandikwa, JF haitalala hadi kimeeleweka. Wapo wanaotafuta habari za kufanyia kazi hapa na wanaotafuta sababu za kuondoa credibility ya JF kama ni mtandao wa majungu pia hapa hapa. Ukweli...
  17. Sam GM

    Mkulo na Ludovick, mbona mwajichanganya?

    Hapa naona kama tunaletewa kiini macho hivi, Juzi Ludovick kasema Mkulo mwenyewe aelezee watu kayatoa wapi hayo kuwa pesa za EPA si za serikali wala BOT. Leo Ludovick kama vile kaletewa maono sijui kutoka wapi ana-support kuwa pesa sio za serikali. Hii ni dhahiri kabisa kuwa tayari mbinu za...
Back
Top Bottom