Search results

  1. Scofied

    TV4Sale ARUSHA-Kwa mahitaji yote ya Tv aina zote SMART na LED!

    Wakuu heshima kwenu..Tunauza tV za aina zote kwa bei poa sana...tunapatikana Arusha town hapa...kwa mahitaji yeyote nicheki kwa 0765360814 watsup na call kawaida .Karibuni sana.
  2. Scofied

    Msaada wa mawazo kuhusu Kuchaguliwa chuoni

    Heshima kwenu wakuu...dogo langu aliapply chuo cha uhasibu Arusha njiro ngazi ya cheti kwenye IT...kwenye kuripoti ikaonekna chuo walisahau kuingiza jina lake wakati wanatuma majina tamiseni... Sasa ni week ofisi ya usajili inaniambia kuna shida ya network saver ya Tamiseni so wanshindwa...
  3. Scofied

    Msaada wa mawazo kisheria

    Wakuu heshima kwenu Kuna sisi wazazi tulipeleka watoto wetu kusoma nje ya nchi (Ukraine) kabla ya vita kupitia hawa maagent matapeli Globel Education link, nawaita matapeli sababu wanachokifanya kwa sasa ni kama utapeli kuhusu hatima ya watoto wetu na pesa zetu tulizowalipa. Hawatupi...
  4. Scofied

    HGE private school Arusha/Moshi

    Heshima kwenu wakuu Naombeni msaada wa shule nzur ya private kwa dogo wa kiume zilizopo mkoa tajwa hapo juu...nina uwezo wa kuzichanga 3m kwa mwaka.Asanteni
  5. Scofied

    Msaada wa mawazo vyuo vya nje

    Wakuu heshima yenu, Nataka nimpeleke dogo akasome chuo Ukraine. Kamaliza six juzi kati hapa, noambeni faida na hasara za yeye kusoma Ukraine! Asanteni
  6. Scofied

    Kesi ya kamanda Lissu

    Wakuu nawaza hapa nini kitatokea kwa mdhamini wa Lissu baada ya mahakama kumtaka mdhamini wake amlete hiyo tarehe mwezi wa December. Kama jamaa atakuja na Lissu sheria inasemaje hapa? Nawasilisha.
  7. Scofied

    +255262605718

    +255262605718....anaejua kama hii number ni kweli inatoka mifuko ya jamii...nimepigiwa simu kuhusu mafao ya mzee wangu eti nipeleke douments mbali mbali nisipo peleka sitapata hayo mafao....kila nikipiga naambiwa inatumika...nahisi kama matapeli vile..msaada
  8. Scofied

    Tatizo la kupata hedhi mda mrefu bila kukoma

    wakuu heshima kwenu. Nini husababisha mwananke kupata hedhi mda mrefu bila kukata...shemeji yangu ana mwezi wa tatu sasa anatatizo hilo..anatumia dawa za homoni inakata dawa zikiisha tu inarudi tena,kapiga Utra sound kizazi hakina shida,kapima hormones kaambiawa zipo sawa... Kuna mtu kasema...
  9. Scofied

    Msaada wa shule nzuri ya advance mchepuo wa Sayansi inayokuza vipaji vya michezo

    Wakuu nimerudi tena...msaada wa shule ya advance private nchepuo wa sayansi ambayo inaendeleza vipaji vya michezo...dogo anapenda na anaweza kucheza mpira wa miguu so nataka asome huku anaendeleza kipaji chake.Ikiwa kanda ya kaskazini au dar itakuwa poa sana. Nawakilisha.
  10. Scofied

    Msaada wa mawazo

    Wakuu heshima kwenu.. Kijana wangu amemaliza form four kapata 1 ya 16..combination zote zimebalance sasa tatizo anataka kwenda chuo ataki kwenda form five na six na anataka kusoma mechanical Engineering...Naomba.mawazo yenu je aende five na six kwanzaa au nimpeleke chuo anapotaka..ana miaka 17...
  11. Scofied

    VOdafone vfd 301

    wakuuu heshima kwenu naombeni msaada wa code ya kuaunlock hiyo simu itumie line zote..so far inatumia line ya voda tu. nwakilisha!
  12. Scofied

    Samsung smart tv

    wakuu heshima kwenu nina tv yangu used aina tajwa hapo juu nchi 50 nilinunua zanznibar...sasa imeanzaa tatizo la kujizima yenyewe..nikiwasha inakaa kama dakika kumi hivi inazima na nikiwasha tena inawaka then inazima...haikuwa na tatizo hilo kabla. ushauri wenu inaweza kuwa na shida gani kabla...
  13. Scofied

    Tecno Phantom six plus

    Wakuu heshima kwenu,nina tumia hiyo simu kwa mda sasa..but imeanza tatizo lankustack stack....nikiweka lock na kutoa inafanya kazi kama sekunde 10 hivi then ina stack tena..nimeifanyia factory reset but tatizo lipo pale pale...na kuna saa inakuwa poa kama dakika kumi hivi then inastack...
  14. Scofied

    BBNaija 2018 final week...

    wakuu kwa wale wapenzi wa hizi mambo kutoka king'amuzi pendwa cha DSTV...week hii ni week ya mwisho yaani Final na walioingia final ni 1.Tobi 2.Miracle 3.Cecee 4.Alex 5.Nina Je unampigia nani chapio la kuondok na kititaa...Mimi na mahaba binasfi na Tobii na na wish aondoke na kititaaa..je wew...
  15. Scofied

    Msaada: Mashine gani nzuri ya kufulia nguo?

    Wakuu heshima yenu....nataka nimnunulie shemeji yenu Mashine ya kufulia...sasa sins uzozefu nazo kabisa ninunue gani? nasikia kuna Washer sijui na nyingine gani? kifupi nataka kutumia kufua nguo za aina zote ikiwemo majinsi yanguu..naona yanamtesa sana...msaada kwa wanao jua je ninunue Dry...
  16. Scofied

    Msaada wa kisheria tafadhali

    Dada yangu alinunua simu aina ya Samsung kwa mtu kaitumia kwa mda wa kama miezi miwili hivi then akaiuza....sasa juzi kuna watu wamempigia simu kwamba number yake ya simu ndo ilitumika kwenye hiyo simu na hiyo simu iliibiwa,hao watu wanasema wao ni polisi na wanasema haipeleke hiyo simu ili...
  17. Scofied

    Note 5 kwa note 4 na top up

    Mwenye note 5 safii 32gb aje nimpe note 4 safii 32gb na top up juu.....iwe Arusha PM kwa mawasiliano zaidi..
  18. Scofied

    TCU-bad Transaction ID

    wakuu heshima kwenu Namsaidia dogo kuaaply chuo but baada ya kujaza page ya pili inaniliete ''sorry,either your payment id is not varid or there was a delay in receiving your payments details into our systeam..'' Nimrlipia tangu jana...nimajaribu kila baaada ya lisaa but error ni.ileile...Na...
  19. Scofied

    Natafuta shule nzuri ya private O-level Arusha au Moshi

    Wakuu heshima kwenu...naomba msaada wa ufahamu wa shule nzuri ya O-level kimazingira na kitaaluma ya private kati ya mkoa wa Arusha /Moshi...iwe na sport coz dogo anapenda football sana...iwe ya boys au mchanganyiko. Nawasilisha
  20. Scofied

    Note 3 for sale

    Sumsang galaxy Note 3 for sale..ipo kwenye hali nzuri sana colour-white memory-32gb bei-550000 place-Arusha pics na maelewano-0767086777
Back
Top Bottom