Search results

  1. CharmingLady

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nimependa flana aliyovaa akiuza madafu, iliandaliwa vyema kuwa katika uhusika…
  2. CharmingLady

    Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

    Niko poa kabisa, namshukuru Mwenyezi Mungu bado naenjoy hewa yake…
  3. CharmingLady

    Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

    Daddy… Nimependa hitimisho lako By the way i miss you!
  4. CharmingLady

    Sufuria za non stick

    Hi all Naomba kufahamu namna ya kujua sufuria bora za non stick maan saiv kila kona non stick. Haya wataalamu na wazoefu wa vyombo hivi tiririkeni. Natanguliza shukrani CL
  5. CharmingLady

    Tafsiri ya namba kujirudia kwenye ulimwengu wa roho

    Daddy… Usije ukatwaliwa kabla sijakuona. Hebu njoo inbox kwanza
  6. CharmingLady

    Kifo cha Benard Membe is a waking alert

    Huu ni mwanzo wa visasi kwa familia hizi mbili… eeh Mola tunusuru
  7. CharmingLady

    Nina degree ya petroleum engineering Sina kazi, Serikali yangu inatoa milioni kumi Kwa Simba na Yanga

    Tatizo sio Serikali tatizo ni wewe mwenyewe, umepata elimu ila huna akili. #Period
  8. CharmingLady

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Umenifanya nirudi kusoma tena hilo tangazo la kifo nikaiona hiyo “he”… Aisee ilikuwa hatari sana
  9. CharmingLady

    Yuko wapi Kibakuli mdogo wake Nyama yao

    Hivi ndio kapigwa mvua 30?
  10. CharmingLady

    Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

    Alikuwa mgonjwa tangu kuzaliwa…
  11. CharmingLady

    Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

    Nilifiwa na mwanangu mikononi mwangu… Isikilizie tu kwa jirani, isikutokee… 😢
  12. CharmingLady

    VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

    Mshana Jr nimeona kama alipigwa na bumbuwazi flani hivi, kama skadi flani hivi kabla ya kudondoka mara ya pili…
Back
Top Bottom