Search results

  1. D

    Hakuna Waziri aliyeweka rekodi ya kutaja Jina la Raisi mara nyingi kama Bashungwa!

    Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM. Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
  2. D

    When two different minds meet

  3. D

    Huyu ni wa mkoa gani unafikiri?

  4. D

    Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

    Humu unaweza kujitoa mwenyewe sadaka au kumtoa mwingine wa Karibu. Ila kikubwa ni kiapo Cha damu kisha unakabidhi nafsi.
  5. D

    Herufi E inaendelea kufanya vizuri sana sokoni

    Hadi Sasa plate number zinasoma EH... ikiwa ni miezi 6 tu toka herufi E kuzinduliwa. Inasemekana Kila herufi ndani ya herufi kuu Inabeba magari 1000. Hivyo toka Herufi E Imeanza tumeagiza magari 8000 na zaidi ndani ya miezi 6. Hongera sana Serikali yetu tukufu kwa kufungua uchumi. Namuomba...
  6. D

    A great beer tester

    A beer company was hiring a taster, Someone to taste the beers before they are taken for selling. So they placed adverts and one afternoon, my friend walked into the manager's office asking to be employed. The manager tried to figure out how he could drive him away but couldn't come up with an...
  7. D

    Usidhani wenzio ni wajinga!

  8. D

    Umemtambua aliyekaa nyuma ya Harmonize?

    Inaonekana amejawa na mawazo sana!
  9. D

    Haya maji yanayong'arisha Wasanii ni yapi?

    Ray kigosi aliwahi kusema wanakunywa maji mengi sana kubadili rangi ya ngozi, ni Maji haya ni yapi?
  10. D

    Hii nafasi ya tatu haimponyi Simba!

    Ni sawa na kusema Maiti imemng'ang'ania muoshaji.
  11. D

    Inakuwaje mwanamke anakuwa na K baridi?

    Embu wajuvi na wataalam wa mambo ya sirini mnisaidie, Ni Nini kinapelekea K ya mwanamke tena Bado ni mmbichi, kuwa ya baridi (Yaani joto liko chini mno). Na tiba yake ni Nini?
Back
Top Bottom