Search results

  1. H

    Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

    Unaongea as if kila mtu kaona hiyo picha, au kila mtu anamfaham Makonda. Picha tafadhar tupate cha kuchangia
  2. H

    Leo ukipewa nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira utafanya nini kuongeza Ajira nchini?

    Ntaanza na Michezo na sanaaa, Hapa ntajenga miundombinu ya kila aina kwenye michezo kama viwanja na Vyuo kwa ajili ya kupata wataalam ambao tutawatumia ndani na wengingine watasambaa dunia nzima, Ntakuja kwenye kilimo hapa ntahakikisha Tanzania tunaacha kabisaa kutegemea mvua. Ukocheki kwenye...
  3. H

    Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

    Natumain umepata
  4. H

    Msaada jinsi ya kuacha pombe

    Ooh mtoto mzuri usishaur hivyo... Jamaa namfaham anateseka haswaaa
  5. H

    Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Ya moto sana hii... Inaniunguza Koo tafafhar Mpenz Ratifa nipozee
  6. H

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Lakin mkuu wa Mkoa nae kazingua. Alipaswa kumwambia huyo mtumishi maneno hayo off Mike. Hii ingemsaidia kumjenga kuliko alivyofanya sasa. Itamshusha sana hali ya kujiamin hata kama ni mfanyakazi Mzuri. Lakin na huyo Meneja naye ni changamoto, Kwa kumuangalia tuu sina shaka kuwa ni mfanyakazi wa...
  7. H

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Moya ya nyakati mbaya sana hii kucheza na Yanga iliyokatika peak ya juu ya Ubora wake. Sisi kama yanga tunaweza mfunga yeyote hapa tz. Mtani njoo kwa nidham uwanjan kinyume na hapo ni maafa
  8. H

    Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Binafsi Namuunga Mkono kwa asilia nyingi tuu. Hizi teua tengua, Teua tengua inaonesha udhaifu uliopo katika kufanyia Vetting kwa wanaoteuliwa. Mtu anakosea hapa anahamishiwa pale. Uongozi umekuwa kama zawadi kwa watu flan
  9. H

    Hivi ni kweli mawazo huleta uhalisia?

    Umeanza kueleza vzuri sana mpaka nikavutiwa kusoma story yako. Ila ulipofika pale Mara Birthday yang ilikiwa inakaribia, Mara boys hawakuniwish sabab ya Wivu nikajuq tayar shida ipo hapa. Anyway hiyo ipo kwa kila mtu na nazani inatofautiana kwa mtu na Mtu. Hujawah kukaa unasikiliza redio na...
  10. H

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Mindset Kama zako ndio zinafanya Yanga azidi kuchukua ubingwa na wenda akacheza nusu fainali mapema zaidi kuliko si simba. Si mashabik wa Simba sijui tuna matatizo gan kichuani kutwa tupo kubeza ubora wa Yanga kwa maneno ya kupotoshwa at wananunua Mechi!!!! How??? Yaani timu inacheza mpira...
  11. H

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Aaa To yeye you Kill us Slowly....
  12. H

    Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

    Binafis naungana na wew kwa asilimia Mia.. Wapewe mshahara usiozid 3M per Month plus na Viposho vya kawaida katika vikao. Bado naamini tutapata wabunge bora zaidi na wanaoweza kuwatetea vyema wananchi. Mawaziri pia ikiwezekana wasitokane na wabunge wawe huru na waliobobea kwenye sector watakazo...
  13. H

    Nini kifanyike kuinusuru hii Simba?

    Zingatieni mambo yenu, Achaneni na Yanga kabisaa. Mnaweza sana kubeza mafanikio ya Yanga kuliko kuandaa timu yenu. Simba si mbovu kiasi mnachoizungumza
  14. H

    Mayele anatumika kimkakati

    See u when get there.... Simbwa ngufu Moya
  15. H

    Hodi JamiiForums

    Bila kupoteza wasaaa, Mimi Heyyouyoungman ni mgeni hapa jamii forum, japo nakili kuifahan JamiiForums toka mwaka 2010 nikiwa kidato cha pili katika shule moja wapo huko Rukwa. Nimekuwa nikisoma thread mbalimbali za humu jamii forum na kuvutiwa na watu kadha hasa mwanadada To yeye , na...
Back
Top Bottom