Search results

  1. S

    Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

    Uwanja ukowazi. Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa. Sifa zangu: Umri : 50 Elimu: shahada 1 &2 Kazi: Mfanya biashara Dini: Mkristo. Makazi: Dar. Sifa za mchumba. Umri: 30 +. Elimu: kuanzia sekondari. Kazi: aliyejiajiri au aliyeajiriwa...
  2. S

    Natafuta rafiki na mchumba Kisha mke

    Natafuta dada au mama mtumzima chini ya miaka 35. Aliejiajiri au kuajiriwa. Mwenye Elimu yoyote kuanzia la saba. Awe na mtoto au asiwe naye. Awe serious na maisha. Mimi na miaka 40. Ni mkristo na nimjasiriamali. Napenda sana maendeleo. Karibu . P M.
  3. S

    Mke anatafutwa, awe anajiheshimu

    Natafuta dada au mama yeyote awe na watoto au la. Awe anajiheshimu na kujua majukumu ya kumtunza mme. Umri wowote mpaka miaka 35. Awe anajiweza kiuchumi sitaki wakuja kulialia bila kuchangia maendeleo ya maisha Yetu. Asiwe mshirikina, awe nahofu ya Mungu. Mimi ni kati ya .wafanya biashara...
Back
Top Bottom