Search results

  1. L

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Kutele Kuteleza kwa ulimi kupo!
  2. L

    RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    Natamani viongozi hao wasiwepo maeneo mengine ambapo Makonda hayupo. Au pengine kama wapo wawe wanashughulikiwa ili wenye haki zao wazipate
  3. L

    Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

    Pole pole kidogo mkuu, hebu tumia utaratibu wakujibu hoja Zake kuliko kumshambulia yeye binafsi. Huenda kwenye kumjibu wengine tukaungana na wewe kuwa mwanamama huyu hapaswi kuishi nchi hii.
  4. L

    Hivi Ally Hapi anafanya Mikutano ya hadhara kama nani? Mbona cheo chake hakina tija yoyote!?

    Ni utaratibu wa chama kuwafikia watu wake popote walipo
  5. L

    Mambo Matatu yatakayokuacha kinywa wazi nchini Tanzania

    Nuta Hapa kwenye bodi na tume hapaa!
  6. L

    Akaninunulia Konyagi, nilipolewa akatembea na mke wangu. Nikazinduka na kumkuta jamaa kiunoni

    Ama huyo jamaa Yako alikuwa X wa mkeo? Mbonq imekuwa rahisi hivyo tena Ugenini!
  7. L

    Mwalimu ajinyonga huko Moshi kisa riba kubwa ya mkopo

    Kuna mwingine alikopa milioni4 akaenda kuwapa Q-net.Alichoahidiwa anakifahamu mwenyewe kwani huu nimwaka wapili bado analaani hicho kitendo.
  8. L

    Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu

    Kwa ujasiri kabisa hutaki mawazo huru na mbadala yaingie bungeni. Hivi unajua hao wapinzani ndo kioo Cha serikali kujitazama na kujipima juu ya utendaji kupitia ukosoaji na mijadala isiyo na woga? Sikatai kuwa Kuna wabunge wa chama tawala wenye uthubutu wa kuihoji,kuipongeza na kuikosoa serikali...
  9. L

    Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

    Kuna kitu Kishimba alitaka kukisema ,na inawezekana nikizuri kabisa ila ameshindwa namna yakukiweka ili aeleweke. Ajipange vizuri siku nyingine akiseme kwani Kuna mantiki flani anayo kwenye hilo
  10. L

    Anaomba ushauri: Alimuacha mke kwa miaka 9 (bila kumpa talaka kwa ndoa ya kiislamu), sasa anataka warudiane wakati mke alishaolewa!

    Kwa Kuwa kabila la mke ushalitaja, bila shaka sitaambiwa Ninaendekeza ukabila nikikuuliza kuwa wewe ni msambaa?
  11. L

    Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    Huu uelewa wangu kdg niingie Chaka. Nilijua unamaanisha ulilala na mkeo polisi kwa maana wote mlishikiliwa kumbe mke ndo alikusababishia kulala polisi. Pole sana!
  12. L

    Kwa kweli hili la boom hatukumtuma kutusemea!

    Hapo kwenye umasikini sikatai labda kwenye woga. Ila pia ni unafiki kujifanya hujui wachaguliwa wetu wengi wanapenda kuitwa waheshimiwa!
  13. L

    Kwa kweli hili la boom hatukumtuma kutusemea!

    Salaam wandugu, Mheshimiwa ameongea kwa uchungu kwamba akipata nafasi ya kufanya maamuzi wanafunzi hawatapata boom kwani wanalitumia vibaya na hawasomi. Anasema ikibidi sana watoto hawa wa masikini walipiwe ada tu alafu wazazi(sisi tulomchagua) tulipe garama zote zingine. Nikisema zote...
  14. L

    Binadamu tunalazimisha kuwa na mwenzi mmoja?

    Salaam wandugu, Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke awe wakwake peke yake na mwanamke anataka mume awe wakwake peke yake. Sasa hayo yameshindikans...
  15. L

    Ushauri: Mke wangu anatembea na mfanyakazi mwenzie hadi kamzalisha

    Nilishaanza kuguswa na kukuhurumia ila wengine wanadai ni stor yakubuni. Labda tu nitoe pole kwa yeyote mwenye/anayeenda kukumbana nahii changamoto
Back
Top Bottom