Wana familia wa JF,
Humu ndani naamini wapo Watanzania ambao wanaishi Marekani kwa nguvu ya GREEN CARD.
Kwa faida ya wengi, naomba yeyote anayejua au amefanikiwa kuwa na Green Card ya Marekani ni kwa namna gani imemsaidia kuishi huko USA na kwa namna gani imemsaidia kupata kazi nzuri na kuweza...
Sababu za wanawake kuwa single Maza;
1. Kausha damu - anakuwa na mwanaume yeye anamgeuza kitega uchumi chake mwisho wa siku mwanaume anachoka na yeye anatumia may be kushika mimba unplanned au kuwa na mtoto ili iwe sababu ya kumkamata huyo mwanaume, mwisho wa siku mwanaume anasepa
2. Wanawake...
Tafuta fedha wekeza kwa miradi isiyo na stress ukifika umri wa kutulia hapo unakula pension yako taratibu.
Mfano Mimi nimeamua kuwekeza kwenye nyumba za kupangisha.
Ukiwa na nyumba like 6 ambazo each inakuingizia like 300k meaning that per month utakuwa na kama 1.8 Million.
Then 1.8 Million...
Nakumbuka wakati nipo ugaibuni nilikuwa nalala almost kama masaa matatu tu basi out of 24 hours.
I remember nilikuwa naweza kuingiza hela ya kibongo by then like 4 million Tsh na hapo nimeshakatwa Kodi Yao 36%.
Yaani unapiga box huku unasoma. Kuna muda unajiuliza hivi nimekuja huku kusoma au...
Mkuu asante sana. Maana yangu ilikuwa hiyo "loyal" , sema hili ni tatizo langu la kuishia form four D, na nilijieleza mapema kuhusu hilo.
Ubarikiwe sana, na jumapili njema
Mkuu labda nikukumbushe kitu. Mwanamke anayejitambua na kutambua thamani ya "Mume" always anakuwa "loyal" kwa husband au mpenzi wake no matter kiwango Cha elimu alichokuwa nacho au cheo alicho nacho.
Kwa hiyo awe ana elimu ya Diploma ya record management au LLB au masters of Engineering, MBA au...
Kwa mtazamo wangu sidhani kama mwanamke akiwa na masters degree itamfanya aukane uanamke wake hasa kwa kuzingatia "gender roles".
Ndio maana nimesema mwanamke mwenye elimu kuanzia kidato Cha nne au zaidi. Maana yangu ni kuwa wapo wanawake wasomi na wenye nafasi nzuri au kazi nzuri wanawajibika...
Mkuu inawezekana kutokana na elimu yangu ndogo nikawa nakosea matumizi ya hizo alama either kwa kujua au kutokujua.
Lakini ninachomaanisha hapo ni msisitizo wa kitu muhimu cha kuzingatia kwa maana ya point to note to the reader.
Kama nimetumia kimakosa basi nadhani kwa sababu ya elimu yangu hiyo...
Mkuu elimu yangu ni ya kidato cha nne kwa maana ya "Form Four".
Kuwa mume bora haimaanishi lazima uwe na elimu ya Diploma au Degree.
Vivyo hivyo kuwa "Mke Bora" haimaanishi lazima awe na elimu kubwa ya Diploma au Degree lakini ikitokea akawa na sifa hiyo basi ni jambo jema na la kumshukuru...
A life of a "really man" is incomplete without a really "woman" who has merits of being a "wife".
Not every man has a merits of being husband, similarly not every woman has a merits to become a wife.
Mimi natafuta mwanamke ambaye toka ndani ya moyo wake anatamani kuwa na "Mume" na sio mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.