Search results

  1. P

    DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

    Huko Pugu, Dar es Salaam, kuna tajiri na mganga wa kienyeji, inasemekana amemuua mlinzi wake kwa tuhuma za wizi. Na tajiri huo na mganga wa kienyeji ,ametokomea kusikojulikana. Na wananchi wenye hasira, wamemuua kwa kumpiga mawe, baba wa muuaji huyo. ======================= Mkazi mmoja wa Pugu...
  2. P

    Mkuu wa Majeshi wa Kenya alitaka azikwe bila Jeneza na asicheleweshwe kuzikwa

    Mkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
  3. P

    Kupata pasport ya nchi yoyote duniani,kwa njia za udanfanyifu,ni kosa kisheria?

    Ikiwa mtu kapata passport ya nchi ,kwa mfano Amerika au Uingereza,kwa kujifanya ni mkimbizi,amekimbia vita anakotoka,akaenda moja kati ya nchi zunazopokea wakimbizi,na akasema amezaliwa katika nchi hiyo yenye vita,akapewa hadhi ya ukimbizi,wakati hakuzaliwa katikq hiyo nchi,wala hata kuwahi...
  4. P

    Watanzania tupendane kwa dini zetu,bila kubaguana

    Watanzania tupendane na kuwakitu kimoja katika dini zetu,bila kubaguana.Familia moja inaweza kuwa na watu wa dini tofauti,na mkapendana na kusaidiana.Unaweza ukapata tatizo wa asiye dini yako,akakusaidia.Au ukakutana na daktari,nesi,mfamasia asiye wa dini yako akakusaidia au dereva au mwalimu au...
  5. P

    Bila Muhammad Musa Alkhawarizim (Algorthim),huyu ndio baba wa Mathematics na Computer science.

    Kila unachokiona duniani bila ya Muhammad Musa Alkhawarizim(algorithim),Computer science yote inategemea algorithm.Bado hatujamgosa Algebra na Avecina.Kila unachokiona duniani kilichotengenezwa na binadamu,kinatokana na mahesabu ya Algorithm.
  6. P

    Ibada za Christmax Occupied West Bank,zawa za Solidarity kwa Palestina

    Ibada za Christmax,zimekuwa za solidarity kwa Gaza.Occupied West Bank,ibada zote zilikuwa ni solidarity kwa Gaza.Huku huko Israel,wananchi wamezidisha presha kwa Nyetanyau,ili jamaa zao waliotekwa huko Gaza,warudi nyumbani.
Back
Top Bottom