Search results

  1. Am For Real

    Mwanaume ukiweza kushinda tamaa ya ngono mke hatakuendesha

    Wanawake wengi wanatumia ngono kama kiboko ya kumchapia mume. Na ukianguka kwenye huu mtego mwanamke atakuendesha kama gari bovu. Kwanza atahakikisha anakukoleza na kukupa mahaba mazito ambayo hajawahi kuonekana Dunia hii. Ukiingia mzima mzima sasa ndyo unajikuta hujiwezi. Pasipo ngono basi...
  2. Am For Real

    Upendo wa Mama ni muhimu lakini Upendo wa Baba muhimu sana pia

    Habari Wana JF.Ni kijana wenu nimekuja Tena kuleta experience yangu ya kuishi na mama mpaka umri wangu huu wa utu uzima.Bila kuwapotezea muda niliyoyagundua ni haya kutoka Kwa Mama na Baba japo sijabahatika kuishi na Baba. 1 Kwanza Mama zetu na Baba zetu wote wanatupenda lakini Kuna utofauti...
  3. Am For Real

    Kuna umuhimu gani wa kucertify vyeti kipindi hichi Cha kusubiri ajira mpya?

    Wakuu habari zenu, Napenda kujua ni kweli lazima kudhibitisha vyeti vya masomo Kwa mwanasheria Kwa kupiga mhuri Kwa mwanasheria ikiwa unataka kuomba ajira serikalini. Na je Kwa waliowahi Fanya hivi, hii huduma waliipata Bure au mpaka uwe na kiasi Fulani. ##Ajira Mpya ##Wivu utawaua vibaya sana
  4. Am For Real

    Je ni sahihi kumuosha mzazi wako anapopatwa na magonjwa au kuzeeka

    TUPUUZE HUU UPUUZI.UZI UFUTWE.ONE LOVE.
  5. Am For Real

    Rihanna Hana makosa kuvaa nguo za Masista

    Hivi majuzi Rihanna alikuwa amepost picha akiwa amevaa nguo za Masista wale wa kiroma.Watu wengi Sana wamemponda wengine kusema hana heshima.Wengine kusema anadhalilisha ukristo. Watu ilibidi waelewe kwanini Rihanna kaamua kuvaa vile na sio kuleta makasiriko yasiyo na maana.
  6. Am For Real

    Amejikuta anafanya ngono na mbwa sasa hawezi kuacha, afanyaje?

    Nanukuu maneno yake: “Mimi ni mdada wa Miaka 24 na ninaishi na boyfriend wangu wa Miaka 28. Tuna mihemko mikubwa sana ya kingono na tunakutana kimwili mara kwa mara. Wote tunafanya kazi eneo Moja nyumbani. Tunaishi Mimi yeye na Mbwa wake kwenye nyumba tunayoishi. Juzi Kati alisafiri Kwa ajili...
  7. Am For Real

    Wadada wengi hawajisafishi

    Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana” Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi...
  8. Am For Real

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wenye wanawake wengine

    Hili linawezekana kuonekana suala la ajabu ila ndyo uhalisia.Mwanaume mwenye mwanamke au wanawake pembeni hupendwa Sana. Natolea Baadhi ya mifano 1 Ukiwa huna mpenzi kama mwanaume alafu ukamtaka mwanamke.Akikubali kuwa na mahusiano na wewe lakini akagundua huna mzunguko mwingi wa wanawake basi...
  9. Am For Real

    Natafuta sehemu ya kupiga kazi kama Dental Therapist

    Habarini ndugu zangu Wana Jamii Forums .Mimi ni kijana wa Miaka 26.Natafuta kazi ya Dental Therapist (Daktari wa Meno Ngazi ya Diploma ).Leseni ya kufanya kazi ninayo tayari. Kwa sasa Nipo Songea,Ruvuma(Ndyo nyumbani)
  10. Am For Real

    Njia sahihi ya kuzitumia hisia

    Matatizo mengi tunayokutana nayo kwenye maisha, kwetu wenyewe na kwa wengine huwa yanaanzia kwenye hisia. Tunafanya maamuzi fulani kwa kusukumwa na hisia na baadaye tunagundua hayakuwa maamuzi sahihi kitu kinachofanya tuingie kwenye matatizo. Tunaweza kuzichukia hisia, lakini bila ya hizo...
  11. Am For Real

    Wapi napata Gesti Kambarage Dodoma?

    Wakuu kwa mnaoifahamu Dodoma vizuri hapa Kambarage Tower napata wapi Gesti za bei nafuu.
  12. Am For Real

    Mama anang’ang’ania kunifulia nguo zangu.

    Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani. Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja. Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara...
  13. Am For Real

    Ni akaunti ipi nzuri kufungua Benki?

    Salaam wapendwa, Mimi ni mtu ambaye nimekuwa nikikwepa kuweka hela Benki mara nyingi natumia M pesa lakini nimekumbwa na tatizo lililonilazimu kuwa na account ya Benki. Swali langu ni hili account ipi Haina makato kabisa au ina makato madogo.Nimesikia kuhusu NMB chap chap account je itakuwaje...
  14. Am For Real

    Sipendi tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila hodi pamoja na kunilazimisha kunyoa ndevu zote

    Kwanza kabisa salamu wapendwa,Mimi ni mwanaume wa Miaka 26 naishi na Mama nyumbani. Tunaishi vizuri lakini kuna Baadhi ya mambo yananikera sana nikiwa nyumbani; 1 .Hii tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila kubisha hodi, muda mwingine anaweza akaingia akanikuta nimevaa bukta tu au boxer...
  15. Am For Real

    Je ni kweli kujitolea sio sababu ya kuajiriwa

    Katika pita pita zangu YouTube nikakutana na hili bandiko. Ni kweli kabisa watu wengi wanategemea wakifanya kazi sehemu Fulani basi wapate ajira siku moja hapo hapo. Je hii inaweza kuapply Serikalini pia kwamba ukijitolea kazi serikalini unapata kipaumbele? Je inakuwaje Kwa watu wenye Uzoefu...
  16. Am For Real

    Je, Ufanisi wa elimu ya nchi unatusaidia katika kazi?

    Hivi zile slides ambazo walimu vyuoni wanakimbizana kumaliza Kwa haraka huku wanafunzi wakishindana kukariri (Kuzima moto) zina Ufanisi wowote au tunazidi dumaza elimu yetu?
  17. Am For Real

    Nawezaje tumia lucky patcher kutolipia bills za apps

    Kwa wanaofahamu naombeni msaada.
  18. Am For Real

    Nawezaje pata CPD Points kirahisi

    Kwa watumishi wa Afya mnaojua naombeni msaada.
  19. Am For Real

    Kwanini wanawake wa Karne hii wapo mbiombio kimaendeleo kuliko wanaume

    Yeyote anayesoma ujumbe huu akapate hitaji la Moyo wake.
  20. Am For Real

    Jambo gani Mzazi alikulazimisha kufanya ila hukupenda?

    Binafsi nilichukia Sana kulazimishwa kurudia kusoma shule ileile niliyosoma O level wakati nilipenda Sana kubadili mazingira. Wewe ulilazimishwa kipi??
Back
Top Bottom