Search results

  1. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Wazanzibari nimeamini Shukrani Hawana Nilikuwa kijiwe kimoja pale Kisiwandui Zanzibar Baadhi ya wazanzibari walalamika Raisi Samia kuwapa wazanzibari ajira Bara kuwa wanaharibika na kuua utamaduni wa kizanzibari Kuwa wakipata ajira Bara wanaharibika na kuwa walevi na Malaya na wasio zingatia...
  2. S

    Dkt. Mwingulu Nchemba awataka Wabunge kujadili sheria wakati wa Utungwaji na Siyo Wakati wa utekelezaji Wake

    Kama kukipa Kodi kutenda Haki.kila mtu alipe Kodi ikiweko Raisi ,mawaziri na wabunge Hilo jukumu.la kulipa Kodi ni la wananchi tu wengine ? Ncho hii Ina matabaka kwenye ulipaji Kodi bunge lijitafakari pamoja na Raisi mwenyewe
  3. S

    Dkt. Mwingulu Nchemba awataka Wabunge kujadili sheria wakati wa Utungwaji na Siyo Wakati wa utekelezaji Wake

    Alichosema waziri sio sahihi Mfano.mimi nimeingia bungeni Leo Naona Kuna Sheria iliyopitishwa huko nyuma sio sahihi lazima nitaipinga bungeni Ukiniambia nilitakiwa kujadili wakati inapitishwa sio kweli.Kuna Sheria mfano zilipitishwa na wabunge Miaka ya sitini huko wakati hata wabunge wa Sasa...
  4. S

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Mabilionea wengi hupata utajiri Kwa maskini kama hujui Sababu ndio wengi Mfano watengeneza simu wanajua population kubwa maskini duniani wanahakikisha wanatengeneza simu ambayo huyo maskini lazima anunue Billy Gates billionea ataimba ohh Kuna nchi maskini duniani Lakini atahakikisha bidhaa...
  5. S

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Kwa mawazo hayo Ina maana wamerudi nyuma kwenye uchumi wa kujikimu sio wa kimataifa Ni sawa na mtu wa kijijini anayesema sihitaji kulima zaidi nipate Hela zaidi wakati Nina chakula tele Cha kula sihitaji kununua niuze nipate pesa ili iweje wakati Nina vyakula kibao ghalani na nikihitaji...
  6. S

    Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Lisu Mbona hakujibu chap chap tuhuma Hadi afuatwe na jamii forums? Mbona kachukua muda mrefu mmmmmmmmm mwenye masikio haambiwi sikia
  7. S

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Marekani bidhaa zake anajikita hasa soko la high class hivyo production yake haijikiti sana kwenye mass production Kwa ajili ya Dunia nzima class za chini .Mchina kajikita kwenye mass production Kwa ajili ya low class ambao wako wengi Dunia nzima ndio majority ya Dunia kuhakikisha wanapa bidhaa...
  8. S

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Hata tenda za ujenzi Africa mchina kambwaga mbali US na Europe hawampati
  9. S

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    China wafanyabiashara wadogo na wenye viwanda vidogo ndio wafaidika biashara za kimataifa tofauti na Marekani.Biashara ya kimataifa imeshikwa na wafanyabiashara wachache sana akina Billy Gates,Musk nk hawazidi 20 Hao wauza ma Boeing nk China tofauti faida inaenda Kwa wengi wakati USA inaenda...
  10. S

    Jinsi smartphone used ilivyonipeleka polisi

    Vipi kuhusu Iphone kuna Rafiki yangu kanunua Zanzibar zile wanauza machinga used
  11. S

    Ni Chadema hawa hawa walimpitisha Naibu Katibu mkuu Zanzibar mh Salum Mwalimu kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Tanganyika!

    Lisu anasema sinhaki mzanzibar kugombea Tanganyika wakati Mtanganyika hawezi gombea Zanzibar Sasa huyo Mwalimu ni Mzanzibar mia Kwa mia Kwa Nini Chadema walimpa kuwa mgombea ubunge Kinondoni Tanganyika na sio kumpa ugombea ubunge kisiwandui au jimbo lolote Zanzibar ? Kwa Nini walimpa...
  12. S

    Ni Chadema hawa hawa walimpitisha Naibu Katibu mkuu Zanzibar mh Salum Mwalimu kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Tanganyika!

    Tena Lisu kama bosi wa Sheria Chadema aliidhinisha Hilo Halafu akiwa jukwaani utasikia anapinga CCM ikifabya mambo kama hayo kweli nyani haoni .........
  13. S

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    China Kuna vitu kamzidi marekani na marekani Kuna vitu kamzidi USA mfano ukija kwenye biashara na Africa Mchina kamuacha mbali marekani huwezi Kuta bidhaa za marekani nchi nyingi za Africa .Bidhaa za China ziko Kila mahali mijini na vijijini Africa .Mfano wewe binafsi una bidhaa Gani ya...
  14. S

    Upendo Peneza: Wakati naingia Chadema haikuwa kubwa kiasi hicho.

    Ni kweli Chadema kule kukua Ni juhudi binafsi ya Upendo Peneza Hilo halina ubishi
  15. S

    Makalla: CCM tunaheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki, hatuingilii kesi zinazosikilizwa huko

    Fani mbili zinazoongoza kulalamikiwa na wananchi kitaifa Kwa uovu ziko mbili Idara ya Ardhi na mahakama Hao ndio vinara wanaongoza kulalamikiwa na wananchi Kesi kuwa mahakamani sio Kichaka Cha kukitumia Kwa maovu.Mtu kesi imeisha kutoa tu hati ya judgement inachukua mwaka mzima mtu...
  16. S

    Kwanini ndoa zina washauri wengi?

    Halafu Kuna kitu Cha kuchekesha washauri wengi wa ndoa Huwa wanaume wakishauri jinsi mke Bora anavyotakiwa kuwa!!!!! Kuanzià mashehe,wachungaji na ma Padre .Wote wanaume ndio hujitia watoa ushauri nasaha kuwa mke mwema aweje
  17. S

    Makalla: CCM tunaheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki, hatuingilii kesi zinazosikilizwa huko

    Taratibu Gani watu wanalia wapi unataka watu walalamike wapi? Kwa taarifa Yako mahakimu kibao wameshawajibishwa na mahakama baada ya wananchi kulalamika Kwa Makonda na ikathibitika kweli Mihimili wa mahakama pia Kuna watu wanachemka huko .Na wananchi mashahidi .Hakuna Cha kujiificha nyuma...
  18. S

    Makalla: CCM tunaheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki, hatuingilii kesi zinazosikilizwa huko

    Makalla Mjinga Fulani hivi Kero za wananchi ziko kwenye mihimili yote ikiwemo mahakama .Kazi ya chama tawala ni kudikiliza kero za wananchi na kuzitafitia ufumbuzi ikiwemo kutoa msaada wa kisheria au kuzipeleka Kwa uongozi wa mahakama Uongozi wa mahakama utajuaje kama Kuna kero Kwa wananchi...
Back
Top Bottom